Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

🤣🤣🤣🤣 Dah jamaa unajua kuwakandia wanawake...kweli mie siwapendi wanawake ila wewe unasema kabisa sura kama fenesi😲😲😲
 

Mjinga Mmoja Muhaya mwenzio kama wewe, siku Moja kijiweni anatuhadithia.


Alituma Nauli Kwa mwanamke Arusha, mwanamke akatoka Arusha mpaka huku,


Jamaa alivyomuona Kwa mbali pale stend, akazima simu.


Er kisa mwanamke alikua chibonge, Mweusi.!!.



Ilibidi tumpopopee aache ushamba wa KIHAYA.


Mwanamke anapoanza kuacha Kula Hela yako ya Nauli, anaacha muda wake na majukum yake, haogopo wewe ni mtu mbaya au lah ,utamdhuru au lah, yeye alichoamin ni Hisia zake juu yako, angeweza kula Hela, ila akaamua kua mwaminifu, kajaaa... Kakuheshim Kwa kiasi gan??.

Sawa hajakupendeza, je Wewe umempendeza??

Unashindwa hata kuigiza Furaha Kwa kumuona?.

Mpokeee, mfikishe Lodge, akoge, Toka naye kula Chakula ,mpigishe Stori huko ,mrudi naye, mwambie Leo hatutassex, ila mara yapili ukija tutasex, kesho yake msindikize stend ,mpige mabusu ,nakama huna muda naye, Anza kumpunguzia muda ?.



By the way, huyo Muhaya mwenzio pamoja kwamba ni mwanaume mwenzangu, Jamaa ana Nuka mdomo Ile suguu yaan ananuka Mdogo Ile sugu ya kuzaliwa 🤣🤣🤣🤣🤣, alafu anatokea na jasho muda wote, yeye hata kuongea jasho mpaka unaona suruali matakon imeloa, Na ana lisura fulan ivi muda wote ni lisura lakulia, limevutikaaaaa na ule weusi
 
Vibaya hivo mkuu wengine ndio tumeumbwa hivoooo Chunusi hazituishi yani sa tufanyeje hapo Hebu tushauri kwanza!!
jikubalini kwa hali zenu. Mbona chunusi si maradhi ni maumbile tu. Ukianza ku edit na kutuma picha smooth hapa ushafanya ulaghai. Unanijengea taswira kuwa wewe ni smooth sasa ukija nikakutana na zege la uso lazima nishtuke, tofauti na ukituma sura halisi najua hasa cha kutarajia.

Mbona sisi hatuweki ndizi au matango kughushi uhalisia wa vibamia vyetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…