Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
jikubalini kwa hali zenu. Mbona chunusi si maradhi ni maumbile tu. Ukianza ku edit na kutuma picha smooth hapa ushafanya ulaghai. Unanijengea taswira kuwa wewe ni smooth sasa ukija nikakutana na zege la uso lazima nishtuke tofauti na ukituma sura halisi najua hasa cha kutarajia.
Mbona sisi hatuweki ndizi au matango kughushi uhalisia wa vibamia vyetu.
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌
Kweli Kabisa kujikubali ndio mpango mzima!