Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Mimi ukinipigia video call umekwisha.
Kwenye video call naonekana mrembo zaidi hata ya kwenye picha.
Sijui ni camera ya simu yangu, sijui ni namna ninavyoposition camera...
Hadi watu wananiuliza natumiaga app gani kwenye video call.
Itabidi unipe nafasi tuongee vdo call kisha mimi nitaleta ushuhuda hapa kwa ambao hawataki kukuamini.

😎
 
ila hizi camera zinadanganya kichizi yan hapa kitaa kuna dem mweusi kama tairi ila huko insta ni mtoto wa kiarabu
Jichanganye upende rangi ya insta uone kama ukikutana nae utakubali ndo yeye
😂😂
 
Wanawake hasa Hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.

Hii imetokea Jana rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.

Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa Fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.

This is stolen Generation
Wanaume ndio mnasababisha...na wadada wenye akili mbili ndo wanaona bora wajichubue, wee njia nzima wakitembea wawili utasikia cheupuuu cheupeee, hakuna mtu ataita chusiii, akipata mwanamke mweupe utasikia mtoto anawaka rangi ya mtume. Yaan mbaka matako wanaofanya surgery ni kwa sababu ya wanaume,
Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe wachache ndo utasikia wanapenda blacks.
 
video call haina kupindisha, Tena ukitaka ufaidi vizuri awe kwenye jua kali ndio utaona mpaka tongo tongo.

Mara nyingi utasikia camera yangu mbovu, mademu wanaogopa video call na kupigwa picha na simu ya mtu mwingine.
😀😀😀
 
Back
Top Bottom