Mjinga Mmoja Muhaya mwenzio kama wewe, siku Moja kijiweni anatuhadithia.
Alituma Nauli Kwa mwanamke Arusha, mwanamke akatoka Arusha mpaka huku,
Jamaa alivyomuona Kwa mbali pale stend, akazima simu.
Er kisa mwanamke alikua chibonge, Mweusi.!!.
Ilibidi tumpopopee aache ushamba wa KIHAYA.
Mwanamke anapoanza kuacha Kula Hela yako ya Nauli, anaacha muda wake na majukum yake, haogopo wewe ni mtu mbaya au lah ,utamdhuru au lah, yeye alichoamin ni Hisia zake juu yako, angeweza kula Hela, ila akaamua kua mwaminifu, kajaaa... Kakuheshim Kwa kiasi gan??.
Sawa hajakupendeza, je Wewe umempendeza??
Unashindwa hata kuigiza Furaha Kwa kumuona?.
Mpokeee, mfikishe Lodge, akoge, Toka naye kula Chakula ,mpigishe Stori huko ,mrudi naye, mwambie Leo hatutassex, ila mara yapili ukija tutasex, kesho yake msindikize stend ,mpige mabusu ,nakama huna muda naye, Anza kumpunguzia muda ?.
By the way, huyo Muhaya mwenzio pamoja kwamba ni mwanaume mwenzangu, Jamaa ana Nuka mdomo Ile suguu yaan ananuka Mdogo Ile sugu ya kuzaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], alafu anatokea na jasho muda wote, yeye hata kuongea jasho mpaka unaona suruali matakon imeloa, Na ana lisura fulan ivi muda wote ni lisura lakulia, limevutikaaaaa na ule weusi