Tatizo udomo zege bwana ...mitandao inarahisha sana mambo.Shida yenu wengi wenu sijui mnatongozaga wadada kwa mitandao mana kama umekutana na mtu live si unakua ushamuona anafananaje haiwez kukupa shida. Acheni kuwapenda watu wa kwenye picha hamtakutana na hizi kero.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa naweza sema direct tuu kelsea vipi mammy tunaqeza kutana tugegedane na huwezi nizabua kofi 🤣🤣🤣🤣🤣