Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Shida yenu wengi wenu sijui mnatongozaga wadada kwa mitandao mana kama umekutana na mtu live si unakua ushamuona anafananaje haiwez kukupa shida. Acheni kuwapenda watu wa kwenye picha hamtakutana na hizi kero.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo udomo zege bwana ...mitandao inarahisha sana mambo.
Hapa naweza sema direct tuu kelsea vipi mammy tunaqeza kutana tugegedane na huwezi nizabua kofi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo udomo zege bwana ...mitandao inarahisha sana mambo.
Hapa naweza sema direct tuu kelsea vipi mammy tunaqeza kutana tugegedane na huwezi nizabua kofi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] basi ndio mvumilie chochote mtakachokutana nacho sio mnakuja kutusema huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiooo yule jamaa anavyonuka mdomo, hata huyo Mwanamke ni Bora alikimbiwa.

Wanawake mnavumilia sana, alafu Sasa jamaa aNavuta na sogara ...

Fikiria Bwanako ananuka mdomo alafu ni mvutaji wa sigara, siunajua sigara hunukisha mdomo zaidi?.
Sahihi. Pia tabia ya kujiona wakamilifu na kukosoa wengine sio poa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio wakome kwani mitaan wanapoishi hamna wanawake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hicho anachosema mzabzab wengine madomo zege.

Halafu kuna wakati unataka mechi ya fasta fasta mzuka umekupanda utamsubiri wa mtaani mpaka akupige vizinga siku mbili tatu ndo akutunuku

Anazama tagged anachagua malaya wanabargain bei akufuate au uumfuate anapiga shoo saafi kabisa
 
Basi mvumilie lolote mtakalokutana nalo [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom