Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Hakuna wanawake wazur kama weusi ni vile tu hawajijui , mwanamke mweusi mzur anaejipenda hauwez mlinganisha na mweupe hata kidgo , tatzo wasukuma ni wengi apa tz kura zao ni kura za taifa.
 
Alietengeneza filter hakuwa mjinga. Nyie ndio muache ujinga kupata makasiriko kisa mwingine anatumia filter.

Sent using Jamii Forums mobile app
wacha somjo mrembo wewe sisi black beauty bwaan alafu umebarikiwa na urefu sasa filter za nini ? tutakupenda hivyo hivyo mrembo wala usiwe na mihangaiko ya filter
 
ila hizi camera zinadanganya kichizi yan hapa kitaa kuna dem mweusi kama tairi ila huko insta ni mtoto wa kiarabu
Jichanganye upende rangi ya insta uone kama ukikutana nae utakubali ndo yeye
Tairi limefikaje hapo boss [emoji1787]
 
Nilikutana na pisi tinder nikiwa kwenye hizi nchi za Africa mashariki na kati. Demu mzuri light skin alafu amepost mapaja la haja nikasema haina nouma hata kama sio pisi kali ila nyama zipo nitafaidi. Sasa for assurance nikapiga video call sasa sijui aliweka filter pia ila alionekana light skin pia. Basi nikampa location akawa anachukua uber anakuja nilipofikia.

Pisi imefika getini inanipigia, nikaielekeza ije ndani ila ikaomba ifuatwe. Mwanaume nikatoka nje nikaenda kuichukua. Aisee nilivyofika getini, kitu nilichokiona. Kwanza ni mweusi, ana body kama la vannesa mdee wa zamani. Hana nyama wala tako. Na nguo alizovaa yaani mpaka nikaona aibu. Ili ku act gentle nikamkaribisha, nikampa kinywaji. Pia alikuwa kachuka boda boda so akawa kama ana ka scent cha jasho which kwangu ni turn off kinoma.

Nilichofanya nilitengeneza scenario kwamba nina office skype call and ni mambo ya biashara. Nikamwambia leo tunajuana tu tutanyanduana next time. Nikamlipa hela aliotumia kama nauli then nikamwambia asepe. Tokea hapo alikuwa anasumbua huyo, “When are we meeting again” namdanganya mwishoni nikamwambia nishasepa.
 
Ujana[emoji1787]
 
Utapostije picha mbaya nawe?unadhani hawa wanawake unaowaona mitandaoni wengi wako hivyo?nani apost picha mbaya?
 
Mimi ukinipigia video call umekwisha.
Kwenye video call naonekana mrembo zaidi hata ya kwenye picha.
Sijui ni camera ya simu yangu, sijui ni namna ninavyoposition camera...
Hadi watu wananiuliza natumiaga app gani kwenye video call.

Hakuna kitu kama hicho wewe,
 
Ni kweli wana vi filter vyao wanavipenda vinawafanya waonekane smooth na weupe. Ukikutana nae sasa, sura kama fenesi. Ukimuuliza imekuwaje utofauti wa picha na muonekano wa live, utasikia hiyo picha ilikuwa zamani kidogo sasa hvi kuna lotion haijanipenda. Kumbe toka kazaliwa ana sura ngumu kama remmy ongala.

Mimi huwa naomba video call sehemu yenye muwangaza. Huyo ndio msema kweli.

[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom