Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wacha somjo mrembo wewe sisi black beauty bwaan alafu umebarikiwa na urefu sasa filter za nini ? tutakupenda hivyo hivyo mrembo wala usiwe na mihangaiko ya filterAlietengeneza filter hakuwa mjinga. Nyie ndio muache ujinga kupata makasiriko kisa mwingine anatumia filter.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tairi limefikaje hapo boss [emoji1787]ila hizi camera zinadanganya kichizi yan hapa kitaa kuna dem mweusi kama tairi ila huko insta ni mtoto wa kiarabu
Jichanganye upende rangi ya insta uone kama ukikutana nae utakubali ndo yeye
Unaweza tupa kisa ilikuaje[emoji23]Kwakweli picha sio vitu vya kuviamini sana mwenyew kunamtoto wa mtu alinikimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujana[emoji1787]Nilikutana na pisi tinder nikiwa kwenye hizi nchi za Africa mashariki na kati. Demu mzuri light skin alafu amepost mapaja la haja nikasema haina nouma hata kama sio pisi kali ila nyama zipo nitafaidi. Sasa for assurance nikapiga video call sasa sijui aliweka filter pia ila alionekana light skin pia. Basi nikampa location akawa anachukua uber anakuja nilipofikia.
Pisi imefika getini inanipigia, nikaielekeza ije ndani ila ikaomba ifuatwe. Mwanaume nikatoka nje nikaenda kuichukua. Aisee nilivyofika getini, kitu nilichokiona. Kwanza ni mweusi, ana body kama la vannesa mdee wa zamani. Hana nyama wala tako. Na nguo alizovaa yaani mpaka nikaona aibu. Ili ku act gentle nikamkaribisha, nikampa kinywaji. Pia alikuwa kachuka boda boda so akawa kama ana ka scent cha jasho which kwangu ni turn off kinoma.
Nilichofanya nilitengeneza scenario kwamba nina office skype call and ni mambo ya biashara. Nikamwambia leo tunajuana tu tutanyanduana next time. Nikamlipa hela aliotumia kama nauli then nikamwambia asepe. Tokea hapo alikuwa anasumbua huyo, “When are we meeting again” namdanganya mwishoni nikamwambia nishasepa.
mbaya kwa kigezo cha nani?Msiwalaumu bure.mwanamke hata mbaya anapenda kuonekana mzr.
Mimi ukinipigia video call umekwisha.
Kwenye video call naonekana mrembo zaidi hata ya kwenye picha.
Sijui ni camera ya simu yangu, sijui ni namna ninavyoposition camera...
Hadi watu wananiuliza natumiaga app gani kwenye video call.
Kumbe Brother Extrovert hakukuta alichotarajia kukikuta kwako😅😅Nimesoma comments nikitafuta ya Extrovert sijaiona. Maana uhakika ni kwamba angekuwa ananiongelea mimi.
Bora hata naweza kukaa kwa amani sasa.
Ni kweli wana vi filter vyao wanavipenda vinawafanya waonekane smooth na weupe. Ukikutana nae sasa, sura kama fenesi. Ukimuuliza imekuwaje utofauti wa picha na muonekano wa live, utasikia hiyo picha ilikuwa zamani kidogo sasa hvi kuna lotion haijanipenda. Kumbe toka kazaliwa ana sura ngumu kama remmy ongala.
Mimi huwa naomba video call sehemu yenye muwangaza. Huyo ndio msema kweli.
[emoji23][emoji23] sawa naacha.wacha somjo mrembo wewe sisi black beauty bwaan alafu umebarikiwa na urefu sasa filter za nini ? tutakupenda hivyo hivyo mrembo wala usiwe na mihangaiko ya filter
Uzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Kisura chako smooth kama ngozi ya mtoto mchanga 😊😊🤣🤣🤣🤣🤣Chunisi sura nzimaa nyiee 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nacheka kama mazuri uwiiiii!!!!
Watumia filter Leo tunaloo mbona!🤔
Akuna kitu kama icho wanawake wenyewe wanajuwana nani mzuri kuzidi mwingineUzuri wa mtu ni moyo na nafsi ivo vingine mbwembwe tu
Mambo n mengi Kwa kweli !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wanaopenda filter hua ni weusi kama goti ila wanaongoza mitandaoni kutaka wanaume tall, dark and handsome halafu wanataka wazae watoto weupe [emoji3][emoji3]
Njooni mnipige[emoji16]
Pole sana. Ulifungiwa wapi maana hii hali ya hewa si mchezoNilikuwa busy hata ndio nashika simu now.
Sahihi kabisa. Alitegemea akutane na mtu mbaya ila akakutana na pisi kali matata sana.Kumbe Brother Extrovert hakukuta alichotarajia kukikuta kwako[emoji28][emoji28]