Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Mwanamke ambaye hujawahi kumuona akituma picha, mwambie atume ambayo haija-editiwa usije kujuta baadaye

Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.

Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.

Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.

This is a stolen generation.
Wanawake weusi tumefikiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni mtu yule yule tu mkuu anahitaji awe na pesa tu ili aonekane kama wa kwenye filter yake
 
Back
Top Bottom