Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah shenz tayipu 🤣🤣🤣tumesanuka sasa!Ndiyo. Lazima hela zenu ziliwe kwa namna yoyote ile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahah shenz tayipu 🤣🤣🤣tumesanuka sasa!Ndiyo. Lazima hela zenu ziliwe kwa namna yoyote ile.
Wanawake weusi tumefikiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanawake hasa hawa weusi hawajiamini wanatumia filter ili kuibia watu na kuwaachia majuto makubwa.
Hii imetokea jana, rafiki yangu kayakanyaga baada ya kumkimbia Mwanamke wake wa mtandaoni waliyekutana Facebook, hii imesababishwa na kakutana na sampuli mbili tofauti.
Hawa Wanawake weusi hawajitambui na hawana uhuru wa fikra na hawajikubali na wanaingiza watu king sana.
This is a stolen generation.
Wacha weeee!! Wowo na sura ndo mpango mzima ausio!!Jidanganye tu 😁😎😎🏃🏃🏃🏃