Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Walio wengi urafik hauvuki miaka 2 baada ya kuona
😄😄😄Pia, jinsi ya kula ugali mkubwa kwa ugali mdogo. yaani 'kuufanya ugali mkubwa kama ugali, na ule mdogo kuufanya mboga tamu sana'.
Ni hayo tu!
Kila kitu lazima kiwe na kiasi chake hii haipingwi unaposema ujimilikishe urafiki kati yako na yeye ni wazi unakabadhi hadi madhaifu yako yoote kwake pasipo kuweka mipaka.Hakika. Nipo juu ya 100%
dharau gani sasa hapo..?Acha dharau. Nature na Principles hazinaga races.
Kina Mwajuma na Angel wa Norway wote ni walewale
MWANAMKE AMBAYE SIO RAFIKI YAKO HAWEZI KUWA MKEO
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Rafiki yako namba moja baada ya Mungu ni Mkeo/Mumeo. Kama hii kwako ni ngumu acha kuoa/kuolewa. Ndoa itakushinda Mapema Sana.
2. Na isipokushinda ukajikaza. Utaishi kwa Mateso na kugugumia. Ndoa ni urafiki wa karibu Sana baina ya Mwanaume na mwanamke. Ukaribu uliopitiliza kuliko kawaida.
3. Unapooa alafu mkeo akawa sio Rafiki yako. Au ukashindwa kumfanya awe Rafiki yako. My friend umefeli pakubwa Sana. Yaani kimsingi hapo maana ya msingi ya ndoa haipo.
4. Mkeo hawezi kukuficha jambo lolote like. Narudia lolote lile kama wewe ni Rafiki yake. Na kama umefanikiwa kumfanya kuwa Rafiki yako.
5. Moja ya Makosa ambayo Wanaume wengi wanayafanya na kupelekea Wanawake kuwaumiza, kuwachezea shere ni kujifanya kauzu, nunda, ubabe na kutomfanya mkewe Rafiki yake. Kiulinzi na kiusalama ndani ya himaya yako umefeli pakubwa.
6. Iko hivi, huwezi mdhibiti mtu ambaye Yuko mbali na wewe. Huwezi mtawala mwanamke ambaye sio Rafiki yako.
7. Kwenye utawala wa kijeshi na serikali, power ina operate zaidi palipo na ukaribu.
Ndio maana unaona hata mataifa kama Amerika yakitaka kukudhibiti au kukutawala yanakukaribia karibu kabisa au ndani yako kabisa. Kwani Fimbo ya mbali haiuwi nyoka.
8. Mkeo ili umtawale lazima uwe naye karibu Kihisia, kiroho, kimwili na kiakili. Awe Rafiki yako.
9. Falsafa hizi za kitibeli hazijawahi kushindwa poppet pale kama ukizitumia kwa kufuata itifaki.
10. Unapokuwa karibu na mkeo automatically unakuwa karibu na familia yako. Unajua asilimia 99% ya kinachoendelea ndani ya himaya yako.
11. Unapokuwa Mbali na Mkeo. Kwamba sio Rafiki yako. Huna lolote ujualo ndani ya familia na himaya yako labda asilimia moja 1%. Tuu ambayo no majina yao, wanaafya au hawana n.k
12. Usipojua Himaya yako hujui future ya Familia yako. Kifupi huwezi kuweka malengo ya Himaya yako kama huijui vizuri. Malengo yako yatakuwa irrelevant
13. Urafiki ni kuwa karibu. Kwenye ukaribu kuna kujuana. Kumjua vizuri mkeo
14. Urafiki ni Uhuru. Kupitia urafiki MTU anakuwa huru kujiachia.
Kwenye Uhuru ndipo mtu utamjua tabia zake vilivyo.
15. TaikonMaster huwaga nawaambia Kila Siku. Wanawake ni viumbe wanaoeleweka kama vile binadamu wengine kwa sababu wanatumia mfumo wa saikolojia ya kawaida ya binadamu
16. Waliosema wanawake hawaeleweki ni kundi la watu ambao lilikuwa linawasoma na kuwachunguza wanawake wakiwa watumwa, wafungwa na wakiwa hawapo huru.
17. Mimi kama Mwanafalsafa. Huwezi mchunguza na kumjua mtu aliyefungwa, mtumwa, asiye huru na ukajua tabia zake halisi.
18. Mfungue, MPE Uhuru, mkomboe then utamjua mtu huyo ni mtu wa aina gani.
19. Ni Sawa na wale wanaosema Mtu akipata pesa anabadilika na kuwa jeuri nope! Habadiliki. MTU habadiliki. Ila ana adapt kulingana na mzingira ila uasilia wa mtu upo palepale.
20. MTU kupata pesa inamfanya awe huru, na anakuwa sio mfungwa tena. So anaonyesha ule uhalisia wake sasa. Kama ni mpole au mkali. Kama anahuruma au mkatili. N.k.
Concepts hizo najaribu kuziingiza humu nikojaribu kushona Ile hoja ya urafiki na Uhuru na kumjua mtu.
21. Mwanamke anapokuwa Rafiki yako akakuamini kwa kiwango cha juu Sana. Haoni shida kukuonyesha madhaifu yake waziwazi. Kukueleza shida zake waziwazi.
22. Ikiwa mkeo sio Rafiki yako basi elewa siri zako zipo nje ya familia yako.
Kuna mtu ambaye ni Rafiki wa mkeo kuliko wewe anazosiri zako. Anakuchora.
23. Rafiki wa mkeo hapaswi kuwa Mama/ babaake, Mchungaji au sheikhe wake, mganga wake, shostiake, Mdogo wake au yeyote Bali wewe hapo.
24. Kumbuka Mwanamke anamashimo Saba yanayoonekana.
Shimo la nane halionekani.
25. Shimo la Saba lazima ulijaze vizuri na uweze kulitumia vizuri ili mashimo mawili kule juu(masikio) yakusikie. Shimo la Saba ni Papuchi.
Hili anapiga yeyote. Sio ajabu hukumkuta bikra.
26. Shimo la nane lisiloonekana lipo moyoni. Hilo ndio la urafiki uliopitiliza. Ukiweza kulijaza hilo. Hayo mashimo Saba yaliyobakia utayamudu.
27. Bahati Mbaya shimo la nane wengi hawalijui, hawajawahi kulisikia au kuambiwa habari zake.
28. Utasikia mwanamke wangu kiburi, hasikii, anasikiliza mashoga zake, au anamsikiliza zaidi mamaake.
29. Nishaeleza vyakutosha.
Mwenye swali aweza kuuliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Naunga mkono hoja , kocha wa mapenzi we uliskia wapiii?Pia, jinsi ya kula ugali mkubwa kwa ugali mdogo. yaani 'kuufanya ugali mkubwa kama ugali, na ule mdogo kuufanya mboga tamu sana'.
Ni hayo tu!
Balaa bwashee.Naunga mkono hoja , kocha wa mapenzi we uliskia wapiii?
Hapo ndipo numerology na astrology inastep inMWANAMKE AMBAYE SIO RAFIKI YAKO HAWEZI KUWA MKEO

Una hoja usikilizweUkiona mke wako ametulia, huenda hatongozwi na mataikon kwan hakuna demu zama hizi wa kumchomolea taikon, aichape kavu kavu, hayupo narudia hayupo, mungu kutuepusha na hayo, akaamriaha wanawake wazibe sura zao, washindi ndani hadi kusali wasalie majumbani mwao, wasitoke, kama hakuna ulazima, KAZI za ndani afanye mume, sokoni aende mume, ye ni kutomber tu, bro ukiwin hapa utakua ume punguza walau asilimia sabini za kuchapiwa na kuheshimiwa, haya mambo ya mke wangu anaenda kazini, sijui sokoni, sura inapambwa inapitishwa barabarani ovyo man tulia shimo liingiziwe na wengi
Amin kaka hakuna demu mwenye msimamo mbele ya taikon, Kuna dada nilikua nmepanga nao yani hutongozi unaomba k unapanhwa siku, na wana washikaji wao kabisa wake za watu ndo kabisa Yani ni wewe tu, atakuzungusha ila mwisho atakupa tu, weka mke ndani, beba mzigo wake usipende demu mchakarikaji hao wana liwa sanaUna hoja usikilizwe
Hahahaha connection ni kitu gani bwashee
Washauri hawanaga ndoa
Mtu anaweza asiwe kwenye ndoa na akajua mambo ya ndoa.Ujinga ambao upo JF na mitandao mingi ni generalization
Kwa experience ndogo ya ndoa ambayo ni less than ten years unaamini unajua Kila kitu .
Ni MUHIMU baadhi ya mambo mkawa mnatumia I , me and myself
Kwakuwa kuishi na MTU yeyote awe KE , au ME is very complicated hakuna muongozo wala kanuni
Zaidi zaidi ukubali kuvumilia maumivu , madhaifu na senseless dramas za MTU wako
Madogo wengi wa JF ambao wapo below 60 Wana less life experience ila Sasa
Mungu anawezaje kuwa rafiki wa mtu?
Kuna Tafiti na uzoefu.Washauri wa wapi hao?
Mimi naongea kitaalam mkuu. Naweza nisiwe na ndoa ila ninachokuambia ni chakitaalam
Walio wengi urafik hauvuki miaka 2 baada ya kuona
Kila kitu lazima kiwe na kiasi chake hii haipingwi unaposema ujimilikishe urafiki kati yako na yeye ni wazi unakabadhi hadi madhaifu yako yoote kwake pasipo kuweka mipaka.
Hii ni kanuni nzuri na iko relevantHivyo mimi naamini katika kuwa na mipaka kwa kila jambo.
Nakuelewa.Sisemi awe adui ama asiwe rafiki la hasha bali maana yangu imejikita kwenye mipaka.
Kuwa urafiki uwepo ndiyo na mipaka iwepo kama kawaida.
Nachojua mwanamke ukimpa uhuru usio na mpaka eti kwa mgongo wa urafiki umepoteza na hii wazungu ina wag haramu kila leo.