Mwanamke ambaye sio rafiki yako hawezi kuwa mkeo

Hakika. Nipo juu ya 100%
Kila kitu lazima kiwe na kiasi chake hii haipingwi unaposema ujimilikishe urafiki kati yako na yeye ni wazi unakabadhi hadi madhaifu yako yoote kwake pasipo kuweka mipaka.

Hivyo mimi naamini katika kuwa na mipaka kwa kila jambo.

Sisemi awe adui ama asiwe rafiki la hasha bali maana yangu imejikita kwenye mipaka.

Kuwa urafiki uwepo ndiyo na mipaka iwepo kama kawaida.

Nachojua mwanamke ukimpa uhuru usio na mpaka eti kwa mgongo wa urafiki umepoteza na hii wazungu ina wag haramu kila leo.
 
naheshimu mawazo yako ila nakupinga... dhana ya ukaribu wa mataifa kama amerika kwa adui zake, ni tofauti kabisa na dhana ya ukaribu wa mume na mke kwenye ndoa.

wanawake hawafanani kimitazamo kama tulivyo sisi tu. anaweza kuwa rafikiyo na bado akaeleza shida au matatizo yako kwa rafikiye mwingine... pia akaeleza siri za rafikiye mwingine kwako wewe.

mwisho: hakuna formula moja standard kwenye field hii ya maisha ya ndoa na mahusiano.
penye watu tofauti pana mengi ya tofauti.
ni mtazamo wangu tu.


 
Hapo ndipo numerology na astrology inastep in
 
Ukiona mke wako ametulia, huenda hatongozwi na mataikon kwan hakuna demu zama hizi wa kumchomolea taikon, aichape kavu kavu, hayupo narudia hayupo, mungu kutuepusha na hayo, akaamriaha wanawake wazibe sura zao, washindi ndani hadi kusali wasalie majumbani mwao, wasitoke, kama hakuna ulazima, KAZI za ndani afanye mume, sokoni aende mume, ye ni kutomber tu, bro ukiwin hapa utakua ume punguza walau asilimia sabini za kuchapiwa na kuheshimiwa, haya mambo ya mke wangu anaenda kazini, sijui sokoni, sura inapambwa inapitishwa barabarani ovyo man tulia shimo liingiziwe na wengi
 
Wanawake wanataka vyote mtibeli, yaani uwe
1. Rafiki
2. Adui
3. Mzazi
4. Boss
5. Mpole, mbebelezaji
6. Mfalme
7. Mtumwa
8. Mkali, mbabe
9. Mlezi
Nakadhalika, wao ni viumbe vya kihisia hivyo unatakiwa ujue kucheza na kuridhisha hisia zake zote, so mda anaohitaji adui wewe ukajifanya rafiki hamtoboi. Formula nyepesi ni kumsoma ujue anataka nini, mda wa kudeka mdekeze na mda wa kumkoromea mkoromee
 
Una hoja usikilizwe
 
Una hoja usikilizwe
Amin kaka hakuna demu mwenye msimamo mbele ya taikon, Kuna dada nilikua nmepanga nao yani hutongozi unaomba k unapanhwa siku, na wana washikaji wao kabisa wake za watu ndo kabisa Yani ni wewe tu, atakuzungusha ila mwisho atakupa tu, weka mke ndani, beba mzigo wake usipende demu mchakarikaji hao wana liwa sana
 
Ujinga ambao upo JF na mitandao mingi ni generalization

Kwa experience ndogo ya ndoa ambayo ni less than ten years unaamini unajua Kila kitu .
Mtu anaweza asiwe kwenye ndoa na akajua mambo ya ndoa.
Sio lazima watu wote wajue kitu by practice Hilo weka kichwani. Ila kikawaida binadamu wengi nadhani ukiwemo ili ujue kitu lazima ufanye practice

Ni MUHIMU baadhi ya mambo mkawa mnatumia I , me and myself

Hii kwa nini usitumie wewe?
Mwishowe utasema watu wabaki na mitazamo, falsafa zao kichwani.
Kwakuwa kuishi na MTU yeyote awe KE , au ME is very complicated hakuna muongozo wala kanuni

Mtu akishasema Jambo Fulani halina muongozo huwaga tayari anakuwa kwenye kundi la watu wenye upeo Mdogo.

Hakuna Jambo lisilo na muongozo/formula.

Na kwa wenye Akili. Huweka miongozo na formula kwenye mambo ili waweze kuyaongoza na kuyendesha mambo na sio mambo hayo yawaendeshe. Huyo ndiye Mtu kiumbe mwenye utashi.

Lakini binadamu asiye na UTu ndiye huona Jambo Fulani halina formula au muongozo
Zaidi zaidi ukubali kuvumilia maumivu , madhaifu na senseless dramas za MTU wako

Kama huu ndio muongozo au formula yako ni sawa.
Lakini Sisi wengine tunaunda formula na miongozo ambayo hautavumilia maumivu, na drama za kijinga.
Tupo kwaajili ya Kuishi kwa furaha sio kuvumilia maumivu
Madogo wengi wa JF ambao wapo below 60 Wana less life experience ila Sasa

Unaweza ukawa na miaka 60 lakini ukawa hujui chochote na huna uzoefu katika Jambo Fulani ikiwemo mahusiano na mapenzi.
Wakati kuna dogo anamiaka 25 tuu anakuzidi uzoefu katika Jambo Fulani ikiwemo mapenzi.

So miaka yako 60 haimaanishi unauzoefu na Kila kitu. Unaweza kukuta labda unauzoefu kwenye kufuga kuku au fundi ujenzi.
 
Kila kitu lazima kiwe na kiasi chake hii haipingwi unaposema ujimilikishe urafiki kati yako na yeye ni wazi unakabadhi hadi madhaifu yako yoote kwake pasipo kuweka mipaka.

Urafiki mkubwa haimaanishi usiwe na mipaka. Haimaanishi ukabidhi ID yako yote.

Hapo ndipo Matumizi ya Akili yalipo.
Urafiki unakua kulingana na wakati pia. So kadiri MTU unavyoushi naye ndivyo mnavyozidi kusogeleana.

Kuna kanuni na formula za urafiki. Sio MTU umekutana naye Leo au mna miezi mitatu au mwaka unajiachia nope!

Hivyo mimi naamini katika kuwa na mipaka kwa kila jambo.
Hii ni kanuni nzuri na iko relevant

Lakini inategemea mpaka umeuwekea wapi, na unaufungua wakati gani ili mshare mambo yenu
Sisemi awe adui ama asiwe rafiki la hasha bali maana yangu imejikita kwenye mipaka.
Nakuelewa.
Na ni vizuri umetahadharisha hili maana wengine wanaweza kujiachia moja kwa moja bila tahadhari
Kuwa urafiki uwepo ndiyo na mipaka iwepo kama kawaida.

Nachojua mwanamke ukimpa uhuru usio na mpaka eti kwa mgongo wa urafiki umepoteza na hii wazungu ina wag haramu kila leo.

Uhuru lazima uwe proportional na uwezo wa Akili.
Uhuru wenye maadili.

Inategemea na mahusiano yenu yalivyo lakini na upeo wa akili wa wahusika.

Uhuru unapouachia unauachia polepole kulingana na uelewa na ukuaji wa akili qa mhusika.

Mfano, watoto wako unawabana wakiwa wadogo kwa sababu hawana uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi sahihi.
Lakini kadiri wanavyokua huku ukiwafundisha ndivyo unavyoongea Uhuru wao kidogo kidogo mpaka pale ambapo wakikua kabisa na unawaacha wakijiamulia kwa Uhuru mambo yao.

Ndivyo hivyohivyo kwenye Mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…