Mwanamke ana expire date

Mwanamke ana expire date

Ulichoongea si sahihi, kuna watu wameolewa wakiwa na 30+ na wanaishi kwa furaha na ndoa zao.

Utafiti wako wa kuwa mwanaume akioa 30+ hatofikisha 60 si wa kweli.
30+!!? Labda km anaolewa mke wa pili au mwanaume amefiwa na mkewe anaoa ili ulee watoto wake mana 30 mwanamke anakuwa tayari nae kashazalishwa pia.
 
Ingeanzishwa sheria ya kuwabandikia "STICKER" usoni, kama sticker za insurance kwenye magari.

Wale wanaoruka ukuta kue na ulazima wa kutembea na sticker za "SAFETY" (Mfano kama zile za kwenye parking za magari PARKING AT YOUR OWN RISK).[emoji18]
 
Siungi mkono hoja...

Haka kamke kangu kadiri siku zinavyosonga mbele ndo kanazidi kuwa kigori na kunifanya nijute kuchelewa kukafahamu...

Nikimuangalia mama yangu, na miaka yake zaidi ya 60 hivi sasa... bado ana sura angavu, tabasamu mwanana, upendo uliodhahiri na ujasiri usio na mashaka... Nitakuwa nimemtemdea Mungu dhambi, kumkosea baba heshima na kumdharau mama yangu kusema eti ameeksipaya... Lord have Mercy!

Kwangu mimi binadamu aliyeeksipaya ni maiti tu...

Salute kwenu nyote wanawake na mniwie radhi pale napowasemea mabaya. Saa nyingine shetani na pombe hunighilibu ..
Inabidi tu iwe ivo mana tayar ni wa kwako na huna namna...ni sawa na kusema eti mwanamke mzuri ni yule uliemuoa tu...nani kasema hii. Ni kujipa moyo tu.
Mfano mzuri ni madingi kupenda vibinti vdogo vdogo mana kule wanatafuta unafuu
 
Ulichoongea si sahihi, kuna watu wameolewa wakiwa na 30+ na wanaishi kwa furaha na ndoa zao.

Utafiti wako wa kuwa mwanaume akioa 30+ hatofikisha 60 si wa kweli.

Simara Mama, huo ndio ukweli, hizo zingine ni hadithi tuu
 
Ingeanzishwa sheria ya kuwabandikia "STICKER" usoni, kama sticker za insurance kwenye magari.

Wale wanaoruka ukuta kue na ulazima wa kutembea na sticker za "SAFETY" (Mfano kama zile za kwenye parking za magari PARKING AT YOUR OWN RISK).[emoji18]

Mkuu naona umeoamua kulipua bomu
 
Inabidi tu iwe ivo mana tayar ni wa kwako na huna namna...ni sawa na kusema eti mwanamke mzuri ni yule uliemuoa tu...nani kasema hii. Ni kujipa moyo tu.
Mfano mzuri ni madingi kupenda vibinti vdogo vdogo mana kule wanatafuta unafuu

Hata mimi angeanzia mada hii mtu mwingine ningekomenti kama mshikaji kujipa moyo.
 
niwekee na mimi napitia pop corn na miwani tuangalie muv

nimesubscribe huu uzi

Huu uzi kwa kiasi kikubwa utachangiwa na wanaume wenye age 23-35, pia utachangiwa na wanawake wenye age 19-130.
Uzi huu utadhihirisha watu waliolelewa na mama pekee. Pia wale waliokimbiwa na Baba zao. Endelea kufuatilia mkuu.
 
Mkuu nielimishe kidogo kwanini mtu akifikisha miaka 30 mnamuona mzee / umri umemtupa mkono?

Mbona miaka 30 ni binti kabisa mbichi.
Na binti wa miaka 24-28 tuwasemeje sasa...kwanza mwanamke akishafikisha 27 na bado kuolewa mwenyew anaanza kujihami kwa kushika mimba ili asije akakosa vyote. Mwanamke wa 30+ ataolewa na mwanaume wa 40+ ili uzeeni waende sawa mana wanawake wanatangulia kuzeeka kuliko wanaume.
 
Huu uzi kwa kiasi kikubwa utachangiwa na wanaume wenye age 23-35, pia utachangiwa na wanawake wenye age 19-130.
Uzi huu utadhihirisha watu waliolelewa na mama pekee. Pia wale waliokimbiwa na Baba zao. Endelea kufuatilia mkuu.
asante kwa kunifahamisha kinachoenda kutokea huko mbele

ban vipi zitakuwepo??
 
Subiri uje kuwa na mtoto wa kike Halafu apate mwanaume kama wewe anaetumia na kuacha kisha asiolewe mpaka miaka 30 ndio utaelewa maana ya ulichokiandika 😀.

Shame on you kuchukulia wanawake kama bidhaa including your mother and sisters. Mkeo atapata tabu sanaa
 
Habarini Wakuu!!

Mwanamke lazima utambue jambo hili. Ili kuendana na ulimwengu na maisha halisi kuepuka tabu na msongo ya mawazo hapo badae.

Mwanamke huanza ku-expaya siku ya kwanza atoapo bikra yake. Watu wengi hawajui kuwa suala la umri sio kigezo kikubwa kama watu wajuavyo. Mwanamke akishatoa bikra yake basi kuanzia hapo thamani yake huanza kudondoka mpaka atakapofikia expayarin date yake. Lakini mwanamke hawezi ku-expire hata afikishe miaka mia kama atakuwa na bikra.

Mwanamke ni kama bidhaa. Siku azaliwapo ndipo huingia rasmi sokoni. Na ukweli ni kuwa bidhaa licha ya kuwa na umuhimu mkubwa kuliko bidhaa yoyote hapa duniani lakini pia ndio bidhaa hatari kuliko zote.

Ni bora unywe sumu au utumie bidhaa iliyo-expaya kuliko kuishi na mwanamke aliyeisha muda wa matumizi. Wanaume wangeweza kuishi miaka hata mia mbili lakini kwa vile wengi wao huchukua wanawake walioexpire hujikuta hata miaka hamsini hawatoboi.

Mwanamke endapo atafikisha miaka 30 bila ya kuolewa na hana u-bikra basi huyo ni zaidi ya sumu kwa maisha yako. Wengi watabisha lakini ukweli ndio huo. Mwanamke afikishapo miaka hiyo tayari keshamaliza muda wake wa matumizi hasa akiwa hana alama za ubikra.

Mwanaume kama unataka kufa mapema na maanisha chini ya miaka 60 jaribu jambo hili nawe utajionea jambo nilisemalo linaukweli kiasi gani. Hivi mpaka unaoa mtu wa miaka thelasini na ushenzi ni kwamba hakuna wanawake wengine. Je ni ushamba wa mapenzi au ni kitu gani. mpaka unaamua kutumia kitu kilishoisha matumizi ni kwamba hakuna vitu vipya.

Wazee wa zamani walijua siri ya kuishi maisha marefu. Mbali na kula vizuri lakini pia suala la kuoa vitoto vidogo vyenye bikra ilisaidia sana. Wengi hawatanielewa.

Kuoa mwanamke mwenye above 30 ni sawa na kunywa sumu inayokuua pole pole na kama unamiaka 40 nakuhakikishia huwezi toboa miaka 60. Na kama utatoboa utatoboa kwa shughuli pevu.

Naomba radhi kama kuna yeyote nitakayekuwa nimemkwaza.

Povu kama lote nalisubiri
Mama yako ali expire akiwa na miaka mingapi? Kabla au baada ya kukuzaa wewe?
 
Tokea mlipokosea siku ya kwanza fuko lote la lawama mlitwishwa
Nani anaweza ku prove kama siyo mapokeo ya kumnyanyasa mwanamke ya wa tu wa kale? The bible was written by human being siyo Mungu wala malaika.
 
Mkuu nielimishe kidogo kwanini mtu akifikisha miaka 30 mnamuona mzee / umri umemtupa mkono?

Mbona miaka 30 ni binti kabisa mbichi.

Mkuu acha kuchekesha waliuonuna. Yaani miaka 30 awe binti tena unathubutu kuongezea mbichi. Kwenye dunia hii au nyinginge? Mwanamke kama atakuwa anabikra katika umri huo tunaweza mpa ana advantage kubwa
 
Back
Top Bottom