Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha badala ya kupoteza mda wa kufurahi mtu akimpenda mzazi wake hasa mama na sio baba basi poteza mda mwingi kumuhamisisha mumewe aendelee kumsaidia mama ake mzazi japo kakuoa wewe.Nadhani mnajua mna roho za kufarakanisha wame zenu na mama zao.Mwenyezi mungu akupe kila lenye kheir na wewe na akuzidishie mapenzi na kumlea mzazi wako,hua nafarijika sana mtu akimpenda mzazi wake hasa MAMA, mwenyezi mungu akufungulie milango ya kheir na akupe ushindi mbele za maadui zako daima Ameen.
Ila ndo ukweli wenyew huo mzee mama
Hisia zako hazibadili ukweli. Mpaka sasa nina watoto wakike wawili hivyo haibadili ukweli
Jiandae tu vijana wakianza kusukumia ndani binti Wa kwanza sukumia ndani binti Wa pili 🤣🤣🤣watakufyekelea mbali kwa presha unaexpire kabla ya expire date yenyewe
HahahahaHuyu ni Bisexual au homo halafu aliokotwa jalalani alikotupwa na mama yake kichaa.
Joka Jeusiiiiiiiiii-utapata taabu sana. Ndivyo ilivyokuwa zamani ila kama imepitwa na wakati lini sijajua. Siku hizi tunasaidiana hivyohivyo. Walioexpire tunabeba tu. sasa waende wapi. Na je huoni wengi ndo kwanza wanajua kuna kuexpire.
Hivi unaongea hivyo mna wazazi kweli hiyo expire date waangalie waliokuzunguka kuanzia mama yako, dada yako, shangazi zako, mke wako na watoto wa kike halafu uje uongee pumba kama hizo
Hapa naanza kuamini wanaume wenye busara ni wachache isivyo kawaida na wengine ndio mizigo mliowengi mnafanya wanaume wanaonekana waajabu kumbe sivyondivyo
Diamond alijitahidi weeeee kuvumilia kwa zari lakin mwisho wa siku akaona tabu ya nin...ajinyime wakati vyenye uafadhali vimejaa mtaan kibao. Alafu mtu aje aseme eti umri ni namba tu. Nan kasema
HahahaSiungi mkono hoja...
Haka kamke kangu kadiri siku zinavyosonga mbele ndo kanazidi kuwa kigori na kunifanya nijute kuchelewa kukafahamu...
Nikimuangalia mama yangu, na miaka yake zaidi ya 60 hivi sasa... bado ana sura angavu, tabasamu mwanana, upendo uliodhahiri na ujasiri usio na mashaka... Nitakuwa nimemtemdea Mungu dhambi, kumkosea baba heshima na kumdharau mama yangu kusema eti ameeksipaya... Lord have Mercy!
Kwangu mimi binadamu aliyeeksipaya ni maiti tu...
Salute kwenu nyote wanawake na mniwie radhi pale napowasemea mabaya. Saa nyingine shetani na pombe hunighilibu ..