Mwanamke ana expire date

Ulichoongea si sahihi, kuna watu wameolewa wakiwa na 30+ na wanaishi kwa furaha na ndoa zao.

Utafiti wako wa kuwa mwanaume akioa 30+ hatofikisha 60 si wa kweli.
30+!!? Labda km anaolewa mke wa pili au mwanaume amefiwa na mkewe anaoa ili ulee watoto wake mana 30 mwanamke anakuwa tayari nae kashazalishwa pia.
 
Ingeanzishwa sheria ya kuwabandikia "STICKER" usoni, kama sticker za insurance kwenye magari.

Wale wanaoruka ukuta kue na ulazima wa kutembea na sticker za "SAFETY" (Mfano kama zile za kwenye parking za magari PARKING AT YOUR OWN RISK).[emoji18]
 
Inabidi tu iwe ivo mana tayar ni wa kwako na huna namna...ni sawa na kusema eti mwanamke mzuri ni yule uliemuoa tu...nani kasema hii. Ni kujipa moyo tu.
Mfano mzuri ni madingi kupenda vibinti vdogo vdogo mana kule wanatafuta unafuu
 
Ulichoongea si sahihi, kuna watu wameolewa wakiwa na 30+ na wanaishi kwa furaha na ndoa zao.

Utafiti wako wa kuwa mwanaume akioa 30+ hatofikisha 60 si wa kweli.

Simara Mama, huo ndio ukweli, hizo zingine ni hadithi tuu
 
Ingeanzishwa sheria ya kuwabandikia "STICKER" usoni, kama sticker za insurance kwenye magari.

Wale wanaoruka ukuta kue na ulazima wa kutembea na sticker za "SAFETY" (Mfano kama zile za kwenye parking za magari PARKING AT YOUR OWN RISK).[emoji18]

Mkuu naona umeoamua kulipua bomu
 
Inabidi tu iwe ivo mana tayar ni wa kwako na huna namna...ni sawa na kusema eti mwanamke mzuri ni yule uliemuoa tu...nani kasema hii. Ni kujipa moyo tu.
Mfano mzuri ni madingi kupenda vibinti vdogo vdogo mana kule wanatafuta unafuu

Hata mimi angeanzia mada hii mtu mwingine ningekomenti kama mshikaji kujipa moyo.
 
niwekee na mimi napitia pop corn na miwani tuangalie muv

nimesubscribe huu uzi

Huu uzi kwa kiasi kikubwa utachangiwa na wanaume wenye age 23-35, pia utachangiwa na wanawake wenye age 19-130.
Uzi huu utadhihirisha watu waliolelewa na mama pekee. Pia wale waliokimbiwa na Baba zao. Endelea kufuatilia mkuu.
 
Mkuu nielimishe kidogo kwanini mtu akifikisha miaka 30 mnamuona mzee / umri umemtupa mkono?

Mbona miaka 30 ni binti kabisa mbichi.
Na binti wa miaka 24-28 tuwasemeje sasa...kwanza mwanamke akishafikisha 27 na bado kuolewa mwenyew anaanza kujihami kwa kushika mimba ili asije akakosa vyote. Mwanamke wa 30+ ataolewa na mwanaume wa 40+ ili uzeeni waende sawa mana wanawake wanatangulia kuzeeka kuliko wanaume.
 
Huu uzi kwa kiasi kikubwa utachangiwa na wanaume wenye age 23-35, pia utachangiwa na wanawake wenye age 19-130.
Uzi huu utadhihirisha watu waliolelewa na mama pekee. Pia wale waliokimbiwa na Baba zao. Endelea kufuatilia mkuu.
asante kwa kunifahamisha kinachoenda kutokea huko mbele

ban vipi zitakuwepo??
 
Subiri uje kuwa na mtoto wa kike Halafu apate mwanaume kama wewe anaetumia na kuacha kisha asiolewe mpaka miaka 30 ndio utaelewa maana ya ulichokiandika 😀.

Shame on you kuchukulia wanawake kama bidhaa including your mother and sisters. Mkeo atapata tabu sanaa
 
Mama yako ali expire akiwa na miaka mingapi? Kabla au baada ya kukuzaa wewe?
 
Tokea mlipokosea siku ya kwanza fuko lote la lawama mlitwishwa
Nani anaweza ku prove kama siyo mapokeo ya kumnyanyasa mwanamke ya wa tu wa kale? The bible was written by human being siyo Mungu wala malaika.
 
Mkuu nielimishe kidogo kwanini mtu akifikisha miaka 30 mnamuona mzee / umri umemtupa mkono?

Mbona miaka 30 ni binti kabisa mbichi.

Mkuu acha kuchekesha waliuonuna. Yaani miaka 30 awe binti tena unathubutu kuongezea mbichi. Kwenye dunia hii au nyinginge? Mwanamke kama atakuwa anabikra katika umri huo tunaweza mpa ana advantage kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…