Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Baada ya mwanamke kujua/ kufahamu mume wake anachepuka na kidada fulani jirani,mwanamke anaachika huku akidai hawezi kuvumilia mwanaume amletee magonjwa ya zinaa na UKIMWI
Akiwa huko anakutana na mwanaume mwingine na kukubali kuolewa naye na kupachikwa ujauzito na siku ya clinic anaambiwa ana maambukizi ya HIV na katika kumfuatilia huyu mwanaume wa pili au wa kwanza nani amemuambukiza anagundua mume wa pili ndiye amemuambukiza.
Je kitaalamu tunaweza kusemaje hapa?