Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Ila ndio hivyo jamaa hataki sasa.
Na Mimi nimemshangaa maana Kati ya wanaume million wasiotaka uchi hawafiki watano, it's obvious hata huyo dada huko kote alipokuwa anapewa msaada alitoa uchi Sasa na kwa huyu akafikiria hivo.
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Nakubishia nyie wanawake muko dhaifu sana katika kufanyiwa wema .Mke wa mtu ankwenda gengeni tu au kwa mshoni wa nguo , mwenye genge anampa nyanya 3 extra anamuongeza siku akiombwa anaachia mchezo mwenye ,ukitaka kuwachezea wanawake wewe wafanyie wema tu na hususan katika pesa au vizawadi vidogo dogo iko siku anakupiaga mwenyewe simu anaanza mazungumzo , lkn vile vile ni makatili lkn ni dhaifu mno.
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Eeeh!
 
Unapata bahati ya mtende halafu unaichezea? Aliyekwambia ukiwa umeoa huwezi kuongeza mke mwingine nani? Hivi kuna Mwafrika aliye kamili mwenye mwanamke mmoja?
 
Baki na msimamo huo huo tu, umefanya maamuzi sahihi nakuunga mkono
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Labda iwe amesha ku approach, hapo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…