Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Hao wanaogawa papuchi ni Malaya binadamu yoyote anahitaji msaada sio in turn utoe mwili wako kama shukrani hyo bad manner kabisa, inabidi mtu wa hvo kumkimbia tu.
Hahahhah sasa kama kamaindi flag si lazma ajiingize kingi ili atafunwe tu ๐Ÿ˜…
 
Unasali kanisa gani mkuu?...
Gwajima mwenyewe uvumilivu ulimshinda sembese wewe
 
Duh najua tu hapo mzee baba hukuchomoa mbuzi kafia kwa muuza supu๐Ÿ˜‚ ila trust me huyo mama alikua anakupenda kitambo tu ila hiyo changamoto ni kama gia tu ya kutolea shukrani ila alikua anakupenda before?

Vipi kilichofuata hapo mkuu ni mnyanduano heavy siyo?๐Ÿ˜›
 
Heheheh alimpenda wapi! Wanawake mnapenda after treatment tu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… its not easy to love someone you donโ€™t know
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ