Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Ni wa wachache Sana wanaojitambua. Wengine hawako hivyo. Nilikuwa na tabia ya kuchangamkia watoto wadogo na kuwa karibu nao. Ajabu, mama zao wakaanza kujileta. Tena wake za watu.
 
[emoji23][emoji23] hivi Kuna wanawake wanajitongozesha kabisa?
Sisi tunakutana nao ..wengi tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . Dunia imebadilika sahv Kuna mambo ya kushangaza yashaanza kuzoeleka na kuchukuliwa kawaida
 
Ni wa wachache Sana wanaojitambua. Wengine hawako hivyo. Nilikuwa na tabia ya kuchangamkia watoto wadogo na kuwa karibu nao. Ajabu, mama zao wakaanza kujileta. Tena wake za watu.
Dah we differ kwa kweli Mimi Kuna watu na prefer kuendelea na urafiki bila ngono maana kuendekeza kunyaduana, Sasa hao kina mama labda walifikiria unawatongoza indirect
 
Sisi tunakutana nao ..wengi tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . Dunia imebadilika sahv Kuna mambo ya kushangaza yashaanza kuzoeleka na kuchukuliwa kawaida
Kuwa cheap Sana ni kutokujielewa bana
 
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.

Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.

Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.

Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.

Tupo wachache ndugu wenye moyo kazana hivyo hivyo majaribu yapo tu usianguke ktk jaribu Mungu akusaidie ushinde
 
Nyie wanaume mmenifanya ndoto zangu kurudi nyuma some how why.
Ukitaka kazi nzuri nyapu.
Ukitaka karatasi ipitishe upate kitu cha muhimu nyapu.
Chochote nyapu.
So mtoto ameshaadhirika kiakili we kubali nyapu au mwambie huitaki nyapu kistaarabu.
 
Hii kitu imewahi kunitokea, alitapeliwa hela ya ada na paper inakaribia kwa ubinadamu tu nikavaa bom aisee nashangaa baada ya mtihani ananiletea mapichapicha, kifupi nilipunguza kiwango cha heshima niliyokuwa nampa na nikaanza kumtafsiri tofauti sana na kumchukia juu.
 
Acha longolongo.

Wanawake wengi wanaposaidiwa, huishia kutoa papuchi.

Nmeshayaona hayo kwa wanawake tofauti tofauti.
Ukute sasa umemsaidia miaka kadhaa ... mfano lift kila asubuhi Tegeta to kazini posta na kurudi.. inafikaga pahala wanawazaga huyu mbona hasemi au ana tatizo..!? Na usiposema utahisia ya mtungi kuteleza kila jogoo alitaka kuupanda
 
Ila Mungu fundi ati
Mi chichemi... ufundi wake unaonekana hadharani.... Wengine ufundi wa Mungu unaonekana kwenye nyumba ni choo, wengine kwenye majicho, wengine kene ma-lips, wengine kwenye vitembeleo.... SASA UKUTE mwingine katunukiwa sekta zaidi ya moja sasaaa...!!!!
 
Hao hawajielewi heri urafiki wa kukulana kumaliziana hamu zenu hivo hivo mkimisiana mnataftana sio hyo ya kuchoshana had kupigiana simu usiku mbona ni kero, unakula asali Hadi wataka kuchonga mzinga
Naomba nijiunge kifurushi hiki kuanzia mwezi ujao 😅
 
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.

Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.

Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.

Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.

Mle tunda huyo mzee au toa back pass baharia niishi nae
 
Hao hawajielewi heri urafiki wa kukulana kumaliziana hamu zenu hivo hivo mkimisiana mnataftana sio hyo ya kuchoshana had kupigiana simu usiku mbona ni kero, unakula asali Hadi wataka kuchonga mzinga
Kwa hiyo ukikutwa au ukimkuta anakulana na mwingine usepe kimya kimya bila malalamiko yoyote..!?
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Yani utamu wetu unaita Uchafu aisee..Mbingu sio yako.
 
Back
Top Bottom