Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,994
- 4,729
Sawa dada hauko hivyo na hata mimi binafsi ukinisaidia ili nikutunuku papuchi ujue unajisumbua ila kwa uzoefu wangu yaani wanawake wengi huwa wanaoffer papuchi baada ya msaada,yaani utashangaa mtu kamsaidia kwa roho moja tu lakini mdada atajibaraguza weee mpaka ampe papuchiMbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.