Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Kumbe ule ni uchafu?
 
Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.

Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.

Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.

Nimewahi kutana na changamoto hii, nilipomuuliza akasema haoni zawadi kubwa ya kurudisha shukran kwangu isipokua yeye, hawa viumbe akili zao wanazijuaga wenyewe.
 
Mbona Mimi huwa siamini hivo, ukiona unapewa uchi mwenzako tu alikuwa na hamu na wewe. Pia wanaume wengi huwa hawasaidii wanawake bure wengi hutaka ngono. Mimi mtu anayenipa tafu ndo ngumu kufanya naye uchafu aisee.
Hivi mkuu yale mambo ni uchafu.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Dada wawatu amekupenda tuuu na hisia zake amezijaz kwako

So sio fadhila japo n upendo uliojengeka kutokana na fadhila zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio ni uchafu mkishavuliana kugombana na kukwepana dakika sifuri tu.
nimewahi kutana na changamoto hii, nilipomuuliza akasema haoni zawadi kubwa ya kurudisha shukran kwangu isipokua yeye, hawa viumbe akili zao wanazijuaga wenyewe.
safari moja huanzisha ingine!
mkianza kulana utashtukia anakupigia simu usiku uko na mkeo yaani fulu mazoea!atakuganda..

wanawake huwa hawajui FRIEND WITH BENEFIT yaani sio wapenzi wala hatupendani ila tunapeana halafu tunapotezeana hadi NEXT TIME WHEN COME ACRROSS
 
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.
Wewe seat yako mbinguni ipo
 
Nimewahi kutana na changamoto hii, nilipomuuliza akasema haoni zawadi kubwa ya kurudisha shukran kwangu isipokua yeye, hawa viumbe akili zao wanazijuaga wenyewe.
Ukamega sio?
 
Back
Top Bottom