Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

safari moja huanzisha ingine!
mkianza kulana utashtukia anakupigia simu usiku uko na mkeo yaani fulu mazoea!atakuganda..

wanawake huwa hawajui FRIEND WITH BENEFIT yaani sio wapenzi wala hatupendani ila tunapeana halafu tunapotezeana hadi NEXT TIME WHEN COME ACRROSS
Hao hawajielewi heri urafiki wa kukulana kumaliziana hamu zenu hivo hivo mkimisiana mnataftana sio hyo ya kuchoshana had kupigiana simu usiku mbona ni kero, unakula asali Hadi wataka kuchonga mzinga
 
Habari zenu wa JF moja kwa moja kwenye mada.

Nafanya kazi kwenye kampuni moja ya mawasiliano ni miaka mi4 sasa kuna staff mwenzangu mmoja miaka kadhaa nyuma alikuwa kwenye matatizo makubwa sana.

Mimi nilijitolea kumsaidia kwa kiasi kikubwa sana huyu binti si kama binadamu mwenzangu na kiukweli niliplay part kubwa sana kumfanya awe sawa i thank God now yupo sawa.

Sasa tatizo limeanza mwishoni mwa mwaka jana analazimisha sana awe na mimi kimapenzi kama njia moja wapo ya kurudisha fadhila kwa wema niliomtendea na anajua kabisa nimeoa lakini mie nimemwambia haina haja ya kufanya ivyo coz me nilimsaidia kwa nia njema tu na si kwa lengo tofauti.

Hataki kunielewa ananisumbua mno nimemblock kwenye kila sehemu lakini bado ananisumbua coz tunaonana kila siku ofisini.

Wanawake sio kila mtu anaekusaidia anahitaji umpe penzi sote.

Mpasue japo mara moja tu,siyo vizuri kumkazia hivyo.
 
Back
Top Bottom