Mwanamke anahitaji kuhudumiwa/ (Maslai ktk Mahusiano au Ndoa) K

Mwanamke anahitaji kuhudumiwa/ (Maslai ktk Mahusiano au Ndoa) K

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Ili mwanamke akubari kuolewa au kua ktk mahusiano na mwanaume Kuna vigezo huwa wanavingatia, kwa % Kubwa ya wanawake anachoitaji ni kuhudumiwa.
Na kupata unafuu wa Maisha, kiujumla wanawake wapo kimaslai zaidi, hata mke ulie nae, hayupo hapo kwa ajiri ya Upendo ila yupo hapo kwa sababu unamtimizia mahitaji yake.
Ukishindwa kumudu kutimiza mahitaji ya mwanamke mahusiano/ Ndoa inakufa.
Chunguza au sikiliza kauli za wanawake utagundua hii kauli " mwanaume akuhudumie"
Ikitokea umekosa kazi au hauna pesa ya kumuhudumia mwanamke mahusiano chali.
Mwanamke anapokua na mwanaume anawaza atapata nini au atapata faida Gani ktk mahusiano au Ndoa.
 
FB_IMG_17262621142095457.jpg
 
Back
Top Bottom