Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atawaumiza wajinga sio mimi..kenge kabisa!sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
View attachment 2893494
Yani hata Mimi nisipokuweka kwenye challenge na wenzie naona bado sijafanya kituNtajiskia furaha sana pale ntapomweka kwenye challenge na wenzie
Kashushiwa mbingu imekutana na Ardhi kageuka chapatiUmepatwa na nini mkuu? Polee
Ewe mwanaume kamwe usimuonee mwanamke hurumasisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
View attachment 2893494
Sasa apo tunafanya visasi au tunabomoa😂Yani hata Mimi nisipokuweka kwenye challenge na wenzie naona bado sijafanya kitu