watoto wenzako wanaongea kiingereza fluently wanasifia kila kitu mbele ya wenye ufalme, wewe uko hapa huwezi hata kuachanisha maneno kwenye sentensi, poorHabari zenu bana.
Ameniomba pesa nimeenda kwa wakala kumtumia na nika hakikisha jina lake.
Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama imefika!!!,.
Nimemjibu kama ifuatavyo.
Wewe, ukiomba ela nikikutumia ni jukumu lako kuangalia na kuniambia asante umeipata.
Ukikausha nami naendelea na mambo yangu kwasababu kiasi nilichokutumia nahesabu kama hasaratu, kwaiyo ukiipata usiipate I don't give damen!.
Nimemaliza.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Wazazi ndio sehemu ya maishayangu mkuu na bajetiyao ipo fixed.Wazazi wako umewatumia shingapi?
[emoji3] Hilo sio swali mkuu.Hivi kuna watu bado hua wanawatumia hela wanawake..?
I see, utume pesa, tena na ya kutolea🤣. Halafu uulize pia kama ameipata? Wakati anajua ameipata. Huyu anataka kukugeuza manamba/mhudumu wake au la kuna kamzizi anataka kujua ikiwa kanafanya kazi.Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama imefika!!!,.
Jibu zuri sana la upendo na uungwanaWewe, ukiomba ela nikikutumia ni jukumu lako kuangalia na kuniambia asante umeipata.
Hapa haujawa tofauti na NETANYAHU wa Israel kabisa daaah. Yaani hasara ina maana hata mtumiwaji ni hasara😎😎😎.Ukikausha nami naendelea na mambo yangu kwasababu kiasi nilichokutumia nahesabu kama hasaratu, kwaiyo ukiipata usiipate I don't give damen!.
Mkuu mwanaume kumpa mwanamke pesa hiyo nikawaidatu labda kama upinde ndio unaweza kushangaa mwanamke kupewa pesa na mwanaume.Hivi bado mazezeta kama nyie mpo dunia hii?
Unampa mwanamke pesa for what?
Nipo bz mkuu ndio mana dizingatii those sentences.watoto wenzako wanaongea kiingereza fluently wanasifia kila kitu mbele ya wenye ufalme, wewe uko hapa huwezi hata kuachanisha maneno kwenye sentensi, poor
Daah,sikuwahi kuonahumu mkuu,ningechangia tu.Ni hivi hapo mmeombwa wengi hivyo hajui aloituma ni nani.. Kwasababu umetuma ki wakala. Ungetuma wewe kwa namba yako angekuwa na uhakika ni wewe .
Mbona kama yaonekana unatoroka vikao , mbona hilo swala tulijadili sanaa broo
Sex partner!.Muwe mnatoa maelezo ya kutosha ni mke wa ndoa au sex partner