Mwanamke ananiona mimi eti ni mjeuri!

Mwanamke ananiona mimi eti ni mjeuri!

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,593
Reaction score
6,754
Habari zenu bana.

Ameniomba pesa nimeenda kwa wakala kumtumia na nika hakikisha jina lake.

Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama imefika!!!,.

Nimemjibu kama ifuatavyo.

Wewe, ukiomba ela nikikutumia ni jukumu lako kuangalia na kuniambia asante umeipata.

Ukikausha nami naendelea na mambo yangu kwasababu kiasi nilichokutumia nahesabu kama hasaratu, kwaiyo ukiipata usiipate I don't give damen!.

Nimemaliza.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
watoto wenzako wanaongea kiingereza fluently wanasifia kila kitu mbele ya wenye ufalme, wewe uko hapa huwezi hata kuachanisha maneno kwenye sentensi, poor
 
Ni hivi,
Hapo mmeombwa wengi hivyo hajui aloituma ni nani.. Kwasababu umetuma ki wakala. Ungetuma wewe kwa namba yako angekuwa na uhakika ni wewe na angekupa Shukrani yako unayoitaka

Mbona kama yaonekana unatoroka vikao vya wanaume, hilo swala tulijadili sanaa broo

Tena ukiona hivyo anakiburi kuwa ukitoka wewe wako wengine Au kaona kahela kako kadogo akilinganisha anazotumiwa na WAJINGA wengine.
 
Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama imefika!!!,.
I see, utume pesa, tena na ya kutolea🤣. Halafu uulize pia kama ameipata? Wakati anajua ameipata. Huyu anataka kukugeuza manamba/mhudumu wake au la kuna kamzizi anataka kujua ikiwa kanafanya kazi.

Wewe, ukiomba ela nikikutumia ni jukumu lako kuangalia na kuniambia asante umeipata.
Jibu zuri sana la upendo na uungwana

Ukikausha nami naendelea na mambo yangu kwasababu kiasi nilichokutumia nahesabu kama hasaratu, kwaiyo ukiipata usiipate I don't give damen!.
Hapa haujawa tofauti na NETANYAHU wa Israel kabisa daaah. Yaani hasara ina maana hata mtumiwaji ni hasara😎😎😎.

Siku akirudia kukwambia huo upuuzi nitag. Real men ni wachache. Hongera
 
Bangi za wapi hizi,achaneni kila mtu aendelee na laifu lake labda kama unalipia huduma hapo sawa.Mwanaume anakutumia hela huku yeye akihesabu hasara.
 
Ni hivi hapo mmeombwa wengi hivyo hajui aloituma ni nani.. Kwasababu umetuma ki wakala. Ungetuma wewe kwa namba yako angekuwa na uhakika ni wewe .

Mbona kama yaonekana unatoroka vikao , mbona hilo swala tulijadili sanaa broo
Daah,sikuwahi kuonahumu mkuu,ningechangia tu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom