Habari za jioni ndugu zangu.
Mimi sio mwandishi mzuri jaman tunaenda hivyo hivyo.
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 22 nafanya kazi sehemu x lengo la kuandika huu uzi ni kwamba kuna mwanamke wa kiiraq alikuwa anakuja kazini nampatia huduma ila mwezi uliyopita kaniambia ananipenda nikaona sio kesi nikamkubalia😁
Yeye ana miaka 29 na ana mtoto amenizidi miaka 7 wiki hii anataka tufanye mapenzi na anataka nimpe ujauzito ili anizalie mtoto halafu Mimi sipo tayari kwa mtoto sahivi.
Huyu mwanamke halafu anafanya kazi bar na anasema mtoto atalea yeye ushauri wakuu (hii ndio sababu ya kujoin jamiiforums leo).