Mwanamke ananitaka kimapenzi

Ushasema ni Muiraq... Hiyo sauti inayoishi ndani yako kwamba ANAKUPENDA uikemee haraka sana, na uishinde.... Sahau na endelea na maisha yako ndg yangu,.. 22yrs ni mapema sana.
Kwaiyo asile hata mbususu? Wengine sisi utelezi wa tabu.
 
Ana tako? Kama analo mpe mtoto roho yake itulie [emoji41]
 
Mbengo zitafongoka[emoji23][emoji23]
 
Huyo sasa ndio superwoman. Huyo ndio amwe mfano wa superwoman. to yeye njoo usikie huku kuhusu super woman
 
Dalili za kuumaliza mwendo hizi.
 
Angekuwa na uwezo angezaa naye.

Ukishaona mtu anatoa visababu visivyo na uzito ujue mwendo kushnei
 
Dah!,Hizo ni bahati za watu wachache.
 
Mwanamke ana miaka 29, wewe una miaka 22.
Alafu huyo mwanamke ana mtoto ambaye kakuzidi Miaka 7.
Maana yake huyo mtoto ana miaka 29 ambayo ni sawa na Mama yake?
Kwahiyi mama=mtoto wake kiumri.?
Au mimi ndo nina mawazo ya Kiwendawazimu[emoji849][emoji849][emoji849].
 
Mwanamke ana miaka 29 Mimi Nina miaka 22 huyu mwanamke kanizidi mm miaka 7 halafu huyu mwanamke anaye mtoto wa miaka 6
 
Kuna mmoja aliniambia hili, nikamwambia aandike contract kwa mwanasheria, kama utani.

He, bidada si kaja na contract kweli!

Nikamwambia hapa kutakuja kuwa na matatizo baadaye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…