Mwanamke ananitaka kimapenzi

Anafanya kazi bar.
Anataka mtoto, manake mfanye ngono zembe zaidi ya mara moja.
Umefikiria risk ya HIV/AIDs ukiachana na changamoto nyingine za ujauzito na malezi???
 
Nilisepa. Ila tumebaki washikaji mpaka leo.

Alisema anataka nimuachie kopi yenye akili kama mimi. Wala hatanisumbua.

Mimi nikaona siwezi kukaa mbali na mwanangu.
 
Nilisepa. Ila tumebaki washikaji mpaka leo.

Alisema anataka nimuachie kopi yenye akili kama mimi. Wala hatanisumbua.

Mimi nikaona siwezi kukaa mbali na mwanangu.
Ulikubaliana naye kwa kusema kuwa wewe una akili? Unahisi alikukejeli?
 
Kuwa na akili ni kitu relative. Hakunikejeli kwa sababu alikuwa akilisema hilo mara nyingi na kulirudia sana.
Huyo bila shaka ni msomi na anajitambua. Ni nadra mwanamke kumuambia mwanaume kuwa ana akili hasa Afrika.
 
Hiyo ni bahati
 
Huyo bila shaka ni msomi na anajitambua. Ni nadra mwanamke kumuambia mwanaume kuwa ana akili hasa Afrika.
Inategemea mkuu. Ujue wanawake wote si sawa, na hata wanaume wote si sawa.

Moja ya tatizo kubwa ninaloliona katika kujadili haya mambo ya jinsia ni hili la kuwaweka wanawake/wanaume katika fungu moja. Wakati wanawake hata waliozaliwa nyumba moja na kulelewa sawa wanaweza kuwa na tofauti kubwa sana.

Kuna tofauti nyingi za ki genetics, kielimu,kihistoria etc zinaweza kufanya wanawake wawe tofauti sana.

Sasa, watu mara nyingi hufanya makosa ya kuhusisha moja kwa moja uzoefu wa wanawake wanaokutana nao, labda kutokana na mazingira yao, na kusema kwamba wanawake wengi, au wote, ndiyo wako hivyo.
 
Alafu ukute haka kajamaa ndiyo kiongozi wa ukoo.
 
Haya wamesharudi kuhesabiwa hizi ni post za kwenye vi korido vya hostel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…