Mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anaijua faida hii ya kuoga pamoja

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua

Faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna raha sana unaposafishwa kwa mikono yake

,
1731128971894.jpg

MWANAMKE mnaweza kufika naye bafuni yeye akatoa taulo/kanga/mtandio wake tu kisha akasimama wima akawa kukuangalia tu wewe. Si kwamba hawezi kuchota maji na kujimwagia ila anataka umrushie maji kidogo aruke kisha akuambie ngoja kwanza akusogee zaidi ndipo akukumbatie ili mjimwagie maji kwa pamoja

MWANAMKE anapenda sana kuogesha Sele atamshikashika huku anamuosha kwa namna fulani lengo lake asimame tu ndio raha yake

MWANAMKE anapenda kutawazwa, hakuna kitu kinachomfanya mwanamke anapende kuoga na mwanaume wake kama kutawaza kwa mkono wa mwanaume maana vidole vya mwanaume na maji humtekenya na hujisikia raha sana kuliko akijitawaza kwa vodole vyake

KUOGA HUKU MKIWA MUMEGUSANA hapa napo mwanamke humfanya ajisikie burudani akioga zero distance na mtu wake yaani hapa ndipo hujiona safi anataka muwe mumegusana

KUMFUTA MAJI, mwanamke hujisikia vyema anapokuwa anafutwa maji kwa utaratibu huku akisemeshwa kwa lugha ya huba, anafutwa maji mpaka anakauka na anafungwa kanga au taulo lake ili mwende chumbani, ni furaha yake

Kama itawapendeza mnaweza mkanyooshana kidogo huko bafuni. Kama bafu ni rafiki kwa kuhukumiana kama halifai nendeni mahakani tu huko mkapambane kwa HOJA zenye nguvu

Huyu ndiye mwanamke na udhaifu wake kaka.
 
KAKA ANGU mwanamke anapokuambia twende tukaoge wote si kwamba anataka kampani bafuni ila anajua faida ya kuoga pamoja kunafanya ajiamini,View attachment 3147576 ajihisi kupendwa na mkaogeshane kwasababu kuogeshwa kuna raha sana unaposafishwa kwa mikono yake🥰

MWANAMKE mnaweza kufika naye bafuni yeye akatoa taulo/kanga/mtandio wake tu kisha akasimama wima akawa kukuangalia tu wewe. Si kwamba hawezi kuchota maji na kujimwagia ila anataka umrushie maji kidogo aruke kisha akuambie ngoja kwanza akusogee zaidi ndipo akukumbatie ili mjimwagie maji kwa pamoja

MWANAMKE anapenda sana kuogesha Sele atamshikashika huku anamuosha kwa namna fulani lengo lake asimame tu ndio raha yake

MWANAMKE anapenda kutawazwa, hakuna kitu kinachomfanya mwanamke anapende kuoga na mwanaume wake kama kutawaza kwa mkono wa mwanaume maana vidole vya mwanaume na maji humtekenya na hujisikia raha sana kuliko akijitawaza kwa vodole vyake

KUOGA HUKU MKIWA MUMEGUSANA hapa napo mwanamke humfanya ajisikie burudani akioga zero distance na mtu wake yaani hapa ndipo hujiona safi anataka muwe mumegusana

KUMFUTA MAJI, mwanamke hujisikia vyema anapokuwa anafutwa maji kwa utaratibu huku akisemeshwa kwa lugha ya huba, anafutwa maji mpaka anakauka na anafungwa kanga au taulo lake ili mwende chumbani, ni furaha yake

Kama itawapendeza mnaweza mkanyooshana kidogo huko bafuni. Kama bafu ni rafiki kwa kuhukumiana kama halifai nendeni mahakani tu huko mkapambane kwa HOJA zenye nguvu

Huyu ndiye mwanamke na udhaifu wake kaka.
Enzi za uchumba bibi yenu wakati wa kuoga alikuwa anaogopa kuokota sabuni ikianguka. . . .
 
Back
Top Bottom