silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,985
Uko sahihi kabisa.Hiyo ni kweli mkuu. Kitaalamu ili sehemu iwe na msisimko mkubwa ni lazima kue na 'nerve endings' nyingi. Kwa upande wa papuchi eneo la karibu na nje lina nerve endings nyingi mno ukilinganisha na kule ndani mwishoni mwishoni mwa papuchi. Eneo pekee ambalo lipo sensitive sana kule ndani mwishoni ni 'A spot'