Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

Ooooh!!!
Hahahhaaaa! Ukiona hivyo ujue kuna mtu alikureport. Lile jukwaa mods wako makini kweli ila chaajabu matusi wanayaachia.

yaan sikutukana !ni ivuga alianza niambia amependa mgongo wangu nikawa namkwoti inna anakuja ni kama tunampaka ivuga vimadongo vya hapa na pale heheheh !makuwa kwanza sikujua kuwa kucommetn nje ya mada ni 'zambi'
 
hhaahhahahaha uwii nabust mie hapa !kwamba Kizuri kula na nduguyo hhahahaha utawaona hapa machan watakavyokuja
 
Hakika na umeongea Ukweli Mtupu... Jaribu tu kuchukulia kwa hawa wanaogombana nawapenzi wao ,, Yaani huyo unayemuita Mpenzi wako akishaliwa njee tu basi ile radha ya awali hupotea kabisa...
 
huyu mdada mada imemuingia haswa hata anachokisema hakijui ila anahalalisha kupenda cha nje kuliko kilichompeleka kanisani...
 
Hakika na umeongea Ukweli Mtupu... Jaribu tu kuchukulia kwa hawa wanaogombana nawapenzi wao ,, Yaani huyo unayemuita Mpenzi wako akishaliwa njee tu basi ile radha ya awali hupotea kabisa...
Ladha iko pale pale mkuu ila ubongo ndiyo unakataa kukubali kwasababu umejua kuwa keshagegedwa nje na jamaa lingine
 
yaan sikutukana !ni ivuga alianza niambia amependa mgongo wangu nikawa namkwoti inna anakuja ni kama tunampaka ivuga vimadongo vya hapa na pale heheheh !makuwa kwanza sikujua kuwa kucommetn nje ya mada ni 'zambi'
Kule ni dhambi,hata huku mwenye uzi akikununia anakurepot. Sema huku kidogo kuna unafuu.
 
So far, Wadada wanaochangia hii mada ni wachepukaje wakubwa ndio maana wanaona ni haki yao kupingana na Ukweli........
 
So far, Wadada wanaochangia hii mada ni wachepukaje wakubwa ndio maana wanaona ni haki yao kupingana na Ukweli........
Mkuu wala usihofu, unadhani basi mtakufa!! Kufa hamfi labda mfe kwa uzembe wenu, hivyo usiogope. Hiyo hatari mnayoifikiria iko vichwani mwenu tu ila kiuhalisia hakuna tatizo kabisa.
 
Mkuu wala usihofu, unadhani basi mtakufa!! Kufa hamfi labda mfe kwa uzembe wenu, hivyo usiogope. Hiyo hatari mnayoifikiria iko vichwani mwenu tu ila kiuhalisia hakuna tatizo kabisa.

ahhaha waliobutuliwa wake zao nw wameanza kujitokeza mmoja mmoja !ikiuma jua na sie tunaumiaga !
 
Absolutely true.
 
Ooooh!!!
Hahahhaaaa! Ukiona hivyo ujue kuna mtu alikureport. Lile jukwaa mods wako makini kweli ila chaajabu matusi wanayaachia.
mod aliyetupiga ban wote namjua. kuna kipindi wakati namfukuzia Inna na yeye akawa anamfukuzia ila akabwagwa. now ana chuki, yani ni kiazi sana yule mod.

hivi kwanza hili ni jukwaa gani?
MBITIYAZA polea sana mama. yale yote mimi ndio nilisababisha. mods wanajua kuwa nilikuwa nakutongoza kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…