Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

Hahahaaaa!!! Huwa wanafikiri hatutamani eti,tunatamani sana sema tunaheshimu ndoa zetu tu. Sema sasa shetani akituzidi nguvu ndio vile tena. Wawe waelewa tu kama ambavyo wanataka tuwaelewe. Maelewano ndio msingi wa maisha.

hahhhhhhhhhhhhaaaaaaaaa
 
Wanashindwa vipi kuvumilia kipindi cha mpito tu!! Wawe na mioyo ya kupondeka jamani. Wanafikiri tunapenda basiii, ni matamanio tu ndio yanatuzidi nguvu. Wawe wavumilivu jamani.


ahahahahahah nimecheka pale uliposema na sisi hatuhamii kwa michepuko na watoto mnalea hahaha!aisee ni kweli kbs !kwa uzi huu nadhan wataweka uvumilivu [HASHTAG]#mbele[/HASHTAG] kuliko [HASHTAG]#hasira[/HASHTAG]
 
ahhaahha shouger jela ni noma !nimeshinda weekdn km mfiwa tena mjane !nasubiri Saint Ivuga aje hapa anieleze y ni;ipewa ban !nadhan mtongozo wake ulikua high class !lol!


bdw mie mwenyewe nina MATAMANIO KWELI KWELI !watulie tu
Matamanio high class..wakae kimya maana sisi ndio solution ya matamanio yao. Tusipochepuka matamanio yao watayamalizia wapi?
 
ahahahahahah nimecheka pale uliposema na sisi hatuhamii kwa michepuko na watoto mnalea hahaha!aisee ni kweli kbs !kwa uzi huu nadhan wataweka uvumilivu [HASHTAG]#mbele[/HASHTAG] kuliko [HASHTAG]#hasira[/HASHTAG]
Tunachepuka na ndoa zetu bado 'tunaziheshimu' ndio maana bado tuko nao. Ni vile tu tunafuata vile ambavyo hata wao huwa wanafuata huko nje. Wasiwe wachoyo jamani, kizuri unakula na nduguyo. Sasa wao wanataka wafaidi wao tu!! Roho mbaya hiyo, hivyo wawe tu waelewa.
 
i think ni uzi wa dk slaa kupata kazi supermakt !ivugaa akaanza yake bas tukawa km tunatongozana plus mkewe inna !lol !later naambiwa nimeandka jukwaa la siasa nje ya post nikahis ni [HASHTAG]#mitongozo[/HASHTAG] ya Saint Ivuga
Ooooh!!!
Hahahhaaaa! Ukiona hivyo ujue kuna mtu alikureport. Lile jukwaa mods wako makini kweli ila chaajabu matusi wanayaachia.
 
Back
Top Bottom