Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

Unaweza kujitahidi kujua tatizo ni nini mpaka likatokea hilo ili na wewe liwe somo na ikiwezekana kusaidia ndoa isipagaranyike.
Siku zote toka naanza mahusiano lazima nizungumze mambo nisiyoyapenda na yeye aseme yake. Pia tatizo lolote aaniambie, kwangu ni kosa kubwa sana kuchukua maamuzi sababu ya mimi kukukosea bila kuniuliza.

Halafu hawa wanawake bila ubabe hauwezi ishi nao. Jambo la msingi sana ni mawasiliano mazuri.
 
uchepukaji ni tabia ya mtu hausiani na upendo,ima unaletwa kwa tamaa ya maisha au ya kiisia/kimwili mke anaweza kukupenda maisha yako yotee ila tamaa ikamuacha achepuke na akafanya jambo kwa nia ua kile kilicho mpelekea tuu,ila wapo watu mapenzi unoga pale anapo kua na hamu ya kitu tuu,akisha malizana na wewe mpaka ajisikie tenaa,ila kumbuka pia mwanamke ni mtu anae taka faraja ,uwezekano unapo msononesha kwa kipindi kile kutafuta faraja ya harka ,lakini ulevi pia uwafanya baadh kina mama zetu kujiisi kujamiana kwa kipindi akiwa amelewa,je ukiwa haupo kwa kipindi mkeo kalewa?
Mkuu hivi mtu unafikia hatua ya kuoa mwanamke mlevi unakuwa sawa kweli upstairs?!
 
Mkuu, hongera sana, kama wewe ni mwana saikolojia, basi kwa Uzi huu Nina kutunuku A+ tena ya distinction
You have spoken what we call "the naked truth "
 
Wote kijijini hapa mmesapoti?hakuna hata mmoja amepinga? Mm inaelekea Kuna ukweli hapa.
 
Mkuu hivi mtu unafikia hatua ya kuoa mwanamke mlevi unakuwa sawa kweli upstairs?!

ulevi ni mwanzo wa kunywa pombe ,kumbuka kuna jamii na watu tofauti mke kwao kunywa pombe c jambo la ajabu ,na pombe ina mwawil mpka matatu ,uzidishwa unapo kua na furaha au majonzi,hapo ndo hatri ujitokeza kama mwanadada yamempta mawili haya pindi mumewe hayupoo,wapi walio chukuana kumbi za stareh au baa kunywa kwao ni kawaida
 
Siku zote toka naanza mahusiano lazima nizungumze mambo nisiyoyapenda na yeye aseme yake. Pia tatizo lolote aaniambie, kwangu ni kosa kubwa sana kuchukua maamuzi sababu ya mimi kukukosea bila kuniuliza.

Halafu hawa wanawake bila ubabe hauwezi ishi nao. Jambo la msingi sana ni mawasiliano mazuri.

mkuu ubabe unao uzungumzia wewe ni upi,wanawake ni watu wakujielewa wa kieleweshwa ili neno ubabe lina maana gani ,
 
[emoji23] [emoji3] [emoji23] [emoji23] imebd nichek..na akikipata asisahau kutujulisha mana anavyosema kwa bwebwe kua anawapima DNA[emoji23] [emoji23] [emoji23] siku atalia kilio cha karne
Haha...kujipanga ni muhimu. kipindi nikiwa teenager, same story happened to me. ili ku-solve mystery nilimpima dogo nikakuta majibu tofauti. those days hapakuwa na hicho kipimo huko tz. anyway, Mungu ametupa wengine moyo wa chuma, I moved on na ikabaki story. but cheating is for real...
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Tafiti tafiti tafiti my foot!!!

Nyie halali kwetu haramu!!
G
Haramu tamu na bado mtatafiti sana usiposimamia show vizuri ukileta ujeuri ndani ni kuwaua tu ili usaidiwe uanaume wako vizuri,

Mliumbwa kwa mfano wa Mungu sasa mada zenu za kujiliza Liza humu mnamuaibisha aliyetoa wazo la nyie kuwa wa kwanza kuumbwa

Umeandika kwa hasira sana.
 
Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.

Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.

Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).

Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.

Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.

Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
Unapooa unakabidhi uhai wako kwa mwanamke.Ni juu ya mwanamke kuamua akufanyaje akitaka.
 
Kitanda hakizai haramu na wanawake baadhi wamewasitiri waume zao kwa kuzaa nje ya ndoa.

Yawezekana mwanaume unamtosheleza mkeo kimapenzi lakini uwezo wa kumpa mimba huna.

Umekaa na ndoa miaka mitano then mke anajaribu nje mara moja tu na mimba hiyo na wewe mume hujui unajua tu Mungu ndiyo ameamua kutuondolea mtihani wa miaka mitano, kumbe ni kazi ya mchepuko hiyo.
Daah..Hii mifano inaweza sababisha mtu afungwe jela. shauri yenu...
 
mkuu ubabe unao uzungumzia wewe ni upi,wanawake ni watu wakujielewa wa kieleweshwa ili neno ubabe lina maana gani ,
Thibitisha hapo unaposema ni watu wa kujielewa. Ubabe ninaozungumzia ni wa kutoa maamuzi.
 
Back
Top Bottom