kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Hehehehhehe taratibu basi mamaKwani mwanamke akichepuka anatembea au anafanya mwenyewe.Wanaume bwana wakiamua kujihalalishia udume wao huja n nyuzi Kama hizi.Wewe unafanya Nini mpaka mke wako achepuke?lazima unashida Tena kubwa Sana na Tena Bora ufe Basi kwa sababu umepunguza uwezo was kuitwa mwanamme.Kwendeni huko