Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

ahhaahha shouger jela ni noma !nimeshinda weekdn km mfiwa tena mjane !nasubiri Saint Ivuga aje hapa anieleze y ni;ipewa ban !nadhan mtongozo wake ulikua high class !lol!

bdw mie mwenyewe nina MATAMANIO KWELI KWELI !watulie tu
mimi mwenyewe ndio nimerudi leo.. mods wana wivuuuuu. daah.. sasa sijui nikakutongozee wapi tena mrembo wangu kama hawataki ukitongozwa wanataka nini?
 
mod aliyetupiga ban wote namjua. kuna kipindi wakati namfukuzia Inna na yeye akawa anamfukuzia ila akabwagwa. now ana chuki, yani ni kiazi sana yule mod.

hivi kwanza hili ni jukwaa gani?
MBITIYAZA polea sana mama. yale yote mimi ndio nilisababisha. mods wanajua kuwa nilikuwa nakutongoza kweli.

hahahaha wewe soon unakula ban tena !ukweli nilishangaa sana yaan mn hatujaandika mabaya !argggghhhhhhhhh !kwahyo niseme ni WIVU ? hahahah mie simoo !unamchongea Inna ujue?? hahah tusamehe tuendelee na maisha !nimecheka sana
 
mimi mwenyewe ndio nimerudi leo.. mods wana wivuuuuu. daah.. sasa sijui nikakutongozee wapi tena mrembo wangu kama hawataki ukitongozwa wanataka nini?

ahhahha ngj tuhack account ya [HASHTAG]#mod[/HASHTAG] mmoja tumweke mtu kati tumchambeee na tutongozane kwa account yake !mbaafu
 
Ni kweli kabisa Kuna kipindi huwa nawahurumia Sana ninaochepuka nao kwa sababu wanatumia nguvu nyingi lakini mimi nikitafuta sababu ya kupenda tu zaidi ya sex sipati! Utafiti wa Kweli huu na ninampenda mke wangu Sana!
 
Tabia hujenga mazoea. Na hakuna uhalali wa kuchepuka baina ya mwanamke au mwanaume. Akichepuka mwanamke ni makosa,dhambi na kutoridhika au mapungufu alionayo mwanaume. Na hivyo hivyo kwa mwanaume hakuna uhalali wa kuchepuka ni makosa, dhambi au mapungufu alionayo mkeo.

Na hata kama mmoja wenu anayo mapungufu sio halali kuchepuka. Kwakuwa kuchepuka sio suluhu ya matatizo yenu. Tafuta suluhu urekebishe.

Mapenzi ni kujaliana, kuheshimiana, kuchukuliana mapungufu yenu ikiwa ni pamoja na kuvumiliana.

Hakuna mwanamke anaevumilia mumewe kuchepuka. Ila wanakaa na maumivu moyoni mwao. Kutokana na kuonekana ni kiumbe dhaifu. Ila nao wana visasi na wana mioyo ya nyama kama sisi wanaume. Unaweza kukuta labda sie wanaume ndio chanzo chao kuchepuka.

Pia hata sisi wanaume tunaumia pale mpz wako akichepuka. Na kutokana na mfumo dume ndani ya jamii. Ni ngumu sana kwa mwanaume kusamehe mpz wake akichepuka. Huwa anaona kama kadharaulika na kujiona mnyonge sanaa.

Kila mmoja aheshimu makubaliano mliopena.

Kwakuwa kuna wanaume nao wamechepuka na kutelekeza familia zao. Tena mke na watoto na kuhamia kwa michepuko. Ijapokua kuna wale wanaoendelea na familia zao.

Na pia kuna wanawake wamechepuka na kukimbia familia. Ila sio kwa kiwango cha sisi wanaume. Ni rahisi kwa mwanaume kutelekeza familia kuliko mwanamke.

All in all. Hakuna uhalali wa kuchepuka kwa jinsia zote mbili.
Kuna madhara makubwa sanaa ya kidunia na kwa Mungu.

1. UKIMWI. Utaacha watoto wajane na kuwapa shida. Na pia kumletea mkeo au mumeo ukimwi. Ni kama kumuua tuu.

2. Kutelekeza familia. Ni rahisi sana kuhamia huko. Na kuharibu mahusiano yako. Na hakuna kipya cha zaidi.

3. Kujishushia heshima na kupata majina ya dharau kama malaya, changudoa. Na majina mengi. Sio ufahari kuwa na wapenzi wengi.

Sifa ya mwanamke wa kweli ni kujali familia yake na kuhakikisha inadumu. Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Sifa ya mwanaume sio kuwa na wanawake wengi. Mwanaume ni kuhakikisha usalama wa familia. Kuleta chakula na kutoa huduma zote kwa mkewe na kwa watoto wake.
 
Tabia hujenga mazoea. Nw hakuna uhalali wa kuchepuka baina ya mwanamke au mwanaume. Akichepuka mwanamke ni makosa,dhambi na kutoridhika au mapungufu alionayo mwanaume. Na hivyo hivyo kwa mwanaume hakuna uhalali wa kuchepuka ni makosa, dhambi au mapungufu alionayo mkeo.

Na hata kama mmoja wenu anayo mapungufu sio halali kuchepuka. Kwakuwa kuchepuka sio suluhu ya matatizo yenu. Tafuta suluhu urekebishe.

Mapenzi ni kujaliana, kuheshimiana, kuchukuliana mapungufu yenu ikiwa ni pamoja na kuvumiliana.

Hakuna mwanamke anaevumilia mumewe kuchepuka. Ila wanakaa na maumivu moyoni mwao. Kutokana na kuonekana ni kiumbe dhaifu. Ila nao wana visasi na wana mioyo ya nyama kama sisi wanaume. Unaweza kukuta labda sie wanaume ndio chanzo chao kuchepuka.

Pia hata sisi wanaume tunaumia pale mpz wako akichepuka. Na kutokana na mfumo dume ndani ya jamii. Ni ngumu sana kwa mwanaume kusamehe mpz wake akichepuka. Huwa anaona kama kadharaulika na kujiona mnyonge sanaa.

Kila mmoja aheshimu makubaliano mliopena.

Kwakuwa kuna wanaume nao wamechepuka na kutelekeza familia zao. Tena mke na watoto na kuhamia kwa michepuko. Ijapokua kuna wale wanaoendelea na familia zao.

Na pia kuna wanawake wamechepuka na kukimbia familia. Ila sio kwa kiwango cha sisi wanaume. Ni rahisi kwa mwanaume kutelekeza familia kuliko mwanamke.

All in all. Hakuna uhalali wa kuchepuka kwa jinsia zote mbili.
Kuna madhara makubwa sanaa ya kidunia na kwa Mungu.

1. UKIMWI. Utaacha watoto wajane na kuwapa shida. Na pia kumletea mkeo au mumeo ukimwi. Ni kama kumuua tuu.

2. Kutelekeza familia. Ni rahisi sana kuhamia huko. Na kuharibu mahusiano yako. Na hakuna kipya cha zaidi.

3. Kujishushia heshima na kupata majina ya dharau kama malaya, changudoa. Na majina mengi. Sio ufahari kuwa na wapenzi wengi.

Sifa ya mwanamke wa kweli ni kujali familia yake na kuhakikisha inadumu. Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Sifa ya mwanaume sio kuwa na wanawake wengi. Mwanaume ni kuhakikisha usalama wa familia. Kuleta chakula na kutoa huduma zote kwa mkewe.

samahan kaka kama hutajali !UMEOA? kama umeoa nahakika mkeo anakufaidi maana unajitambua had nimekuogopa !naomba nikuffolow tu niridhishe nafsi yangu ! jaman wanaume wote mngekuwa kama huyu Galacha Maestro ,basi nahakika hakuna mwanamke yeyeto angetoka nje ya ndoa yake !jaman omba vyote usiombe kupewa MUME MZIGO !
 
Ni follow mm nikakunyonye nyonye makucha na vumbi..
 
samahan kaka kama hutajali !UMEOA? kama umeoa nahakika mkeo anakufaidi maana unajitambua had nimekuogopa !naomba nikuffolow tu niridhishe nafsi yangu ! jaman wanaume wote mngekuwa kama huyu Galacha Maestro ,basi nahakika hakuna mwanamke yeyeto angetoka nje ya ndoa yake !jaman omba vyote usiombe kupewa MUME MZIGO !
Sijaoa ila mwakani natarajia kuoa. Nina mchumba tu. Anafaidi japo kuna mapungufu ya hapa na pale tunarekebishana na kusonga mbele. Hakuna kitu kirahisi ni kuvumiliana tu. Na kurekebishana.
 
arghhh jingine unalivumilia wee hata halijitambui !yaan wewe umejitambua ukiwa bado mdogo kweli jaman !mie sasa hv nina kazi ya kuwafundisha wanangu elimu yakujitambua sana !huwez amini ninawatia moyo na wakishindwa kitu sitak kabisa mtoto alie lie na kujidekeza ila mpango ! !nataka atafute solutions!nimegundua sie wazaz tunawapa malez mabovu watoto wetu !mwanaume mwingine akikwama pesa kidg tu unamuona anavyoruka ruka kam kuku mwenye kideri sitak wanangu wawe hvyo hata siku 1 !mwanaume unakosa kujiamini upo upo tu kama LIPOPO BUBU bwana !MFYUUU

r
 
Tabia hujenga mazoea. Na hakuna uhalali wa kuchepuka baina ya mwanamke au mwanaume. Akichepuka mwanamke ni makosa,dhambi na kutoridhika au mapungufu alionayo mwanaume. Na hivyo hivyo kwa mwanaume hakuna uhalali wa kuchepuka ni makosa, dhambi au mapungufu alionayo mkeo.

Na hata kama mmoja wenu anayo mapungufu sio halali kuchepuka. Kwakuwa kuchepuka sio suluhu ya matatizo yenu. Tafuta suluhu urekebishe.

Mapenzi ni kujaliana, kuheshimiana, kuchukuliana mapungufu yenu ikiwa ni pamoja na kuvumiliana.

Hakuna mwanamke anaevumilia mumewe kuchepuka. Ila wanakaa na maumivu moyoni mwao. Kutokana na kuonekana ni kiumbe dhaifu. Ila nao wana visasi na wana mioyo ya nyama kama sisi wanaume. Unaweza kukuta labda sie wanaume ndio chanzo chao kuchepuka.

Pia hata sisi wanaume tunaumia pale mpz wako akichepuka. Na kutokana na mfumo dume ndani ya jamii. Ni ngumu sana kwa mwanaume kusamehe mpz wake akichepuka. Huwa anaona kama kadharaulika na kujiona mnyonge sanaa.

Kila mmoja aheshimu makubaliano mliopena.

Kwakuwa kuna wanaume nao wamechepuka na kutelekeza familia zao. Tena mke na watoto na kuhamia kwa michepuko. Ijapokua kuna wale wanaoendelea na familia zao.

Na pia kuna wanawake wamechepuka na kukimbia familia. Ila sio kwa kiwango cha sisi wanaume. Ni rahisi kwa mwanaume kutelekeza familia kuliko mwanamke.

All in all. Hakuna uhalali wa kuchepuka kwa jinsia zote mbili.
Kuna madhara makubwa sanaa ya kidunia na kwa Mungu.

1. UKIMWI. Utaacha watoto wajane na kuwapa shida. Na pia kumletea mkeo au mumeo ukimwi. Ni kama kumuua tuu.

2. Kutelekeza familia. Ni rahisi sana kuhamia huko. Na kuharibu mahusiano yako. Na hakuna kipya cha zaidi.

3. Kujishushia heshima na kupata majina ya dharau kama malaya, changudoa. Na majina mengi. Sio ufahari kuwa na wapenzi wengi.

Sifa ya mwanamke wa kweli ni kujali familia yake na kuhakikisha inadumu. Mwanamke mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Sifa ya mwanaume sio kuwa na wanawake wengi. Mwanaume ni kuhakikisha usalama wa familia. Kuleta chakula na kutoa huduma zote kwa mkewe na kwa watoto wake.
Asante mkuu kwa uchambuzi wako.
 
arghhh jingine unalivumilia wee hata halijitambui !yaan wewe umejitambua ukiwa bado mdogo kweli jaman !mie sasa hv nina kazi ya kuwafundisha wanangu elimu yakujitambua sana !huwez amini ninawatia moyo na wakishindwa kitu sitak kabisa mtoto alie lie na kujidekeza ila mpango ! !nataka atafute solutions!nimegundua sie wazaz tunawapa malez mabovu watoto wetu !mwanaume mwingine akikwama pesa kidg tu unamuona anavyoruka ruka kam kuku mwenye kideri sitak wanangu wawe hvyo hata siku 1 !mwanaume unakosa kujiamini upo upo tu kama LIPOPO BUBU bwana !MFYUUU

r
 
Kuna ukweli mkubwa sana ndani yake...ila kama kawaida hakuna 'one size fits all' kwenye hili suala.
 
Back
Top Bottom