Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Mwanamke anayechepuka ni hatari sana

Kwanini asiamue kuachana kwa kuondoka tu kwa mumewe hata kwa kutafuta sababu za visingizio?

Yani kwa mwerevu anaweza mtafutia sababu kwa kumkuta na makosa mfano ya meseji za michepuko kisha hapo hapo anamjengea hoja na kuondoka kisha baada ya muda kuanza mchakato wa talaka?!

Yanini kuwaza kuua mtu wakati njia mbadala zipo?!
Ishu hapo, ni kwamba mwanamke huyo Anataka mali za mumewe, Uhuru na anamtaka huyo jamaa mwingine.
 
Nakuelewa lakini inategemea siyo rahisi kiivyo!

Sasa kama ni hivyo inaweza ku-apply pande zote,

Hata mume akichepuka anaweza akasabbabisha mkewe akafa Kwa kurogwa na mchepuko wa mumewe,

Na unafahamu mchepuko wa mume ni hatari zaidi,

Kwanza huwa wanaanza kwa kuharibu ndoa muachane ikigoma hiyo ndio hata kuua wanaua.

Unajua Kwanini kwenye Biblia Imeandikwa “ asiachwe mwanamke mchawi kuishi”

Mwanamke akiwa mchawi na mshirikina huwa ni mbaya sana , huwa anaharibu ndoa, uzazi, maisha ya watu vibaya sana!

Kwa hiyo hatari iliyopo kwa mume kuchepuka ni kubwa zaidi kuliko mke kuchepuka.
Naona unabishana na uhalisia.
 
Mm naona hii concept ya mwanamke kufanya tendo la ndoa kwa hisia badala ya tamaa ni sisi wanaume ndo tunataka iwe hivyo kwa sababu tunaogopa kuchapiwa ila ukirudi kiuhalisia mwanamke na mwanaume wote ni sawa linapokuja suala la tamaa ya ngono.

Wote tuna tamaa tu ila mwanamke ameandamwa sana na jamii ndo maana inamuia vigumu kubadili mwanaume pale anapotamani jambo la tofauti.
Chukua kinywaji chochote baridi nitalipia. Jamii inaona wanawake km vile yan kuna vitu hatustahili kabisa. Jamii yetu kuna baadhi ya masuala inatuonea mno.
 
Mtoa mada inaonekana huna uzoefu sana na wanawake, mwanamke akikupa papuchi ya bure, haimaanishi Kuwa anakupenda mkuu, mtoa mada hujawahi pewa kirahisi papuchi ya bure na mdada halafu kesho yake ukakimbiwa..
Show mbovu itakiwa ila kama show ngavu atakutafuta tuhh mkune vizuri
 
Wewe umevuka viwango vya majadiliano upo kwenye mabishano.


Ha ha haaa

Umetumia kipimo gani kujua hivyo?

[emoji14][emoji14][emoji14]

Wewe kabiliana na hoja tu jitahidi uweze kuwa na stamina [emoji3][emoji3] maana vina vingine huwa virefu!
 
Ndio hivyo Mkuu,haya mambo yanatokea sana na tunayaona kwenye jamii tunayoishi.Yaani unakuta Mwamba anapambana kusaka riziki ya familia yake tena kwa kufanya kazi ngumu ili kuhakikisha Mke wake na watoto wake wanapata majitaji yote muhimu na anakuwa mwaminifu, Lkn Unakuta kuna Mpuuzi mmoja ndo anampelekea moto mke wa jamaa,na njemba hiyo inakuja masaa ambayo Baba mwenye nyumba yupo kazini.
Na ndio maana binafsi huwa siharakii kumuonea huruma mtu nikisikia kachinjwa. Nyuma ya pazia lazima tu kuwe na kosa, na mara nyingi kwa sababu ya wake za watu na dharau kwa wenye hao wake.
 
Mtoa mada inaonekana huna uzoefu sana na wanawake, mwanamke akikupa papuchi ya bure, haimaanishi Kuwa anakupenda mkuu, mtoa mada hujawahi pewa kirahisi papuchi ya bure na mdada halafu kesho yake ukakimbiwa..
Mkuu itakua hujui kut.mba ndo maana ulipewa mara moja ....kiufup huna maajab
 
Mali, uhuru na huyo hawara yake. Kmmk asijiroge ke yoyote akaonesha dalili hizo kwangu. Surely nitakula maini yake. I am serious!



Mali si zinatafutwa tu!

Ukiwapo Uzima unapambana tu, ijapokuwa sio rahisi kiivyo!

Bora kuchagua kuishi kwa imani.

Na kuamini kuwa kila likuepukalo lina Kheri nawe, ilimradi iwe salama kusiwepo na kudhuriana na kuuana!

Maana atakae mzuru mwenzie hatabaki salama!
 
Mali si zinatafutwa tu!

Ukiwapo Uzima unapambana tu, ijapokuwa sio rahisi kiivyo!

Bora kuchagua kuishi kwa imani.

Na kuamini kuwa kila likuepukalo lina Kheri nawe, ilimradi iwe salama kusiwepo na kudhuriana na kuuana!

Maana atakae mzuru mwenzie hatabaki salama!
Hapa umeandika safi, samahani kwa kukutusi mkuu.
 
"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.

Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo. Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao.

Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake; anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa, lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbuki kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.

Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).

Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.

Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.

Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.

Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.

Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.

Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.

Pindi mkeo anapoanza kulala na mwanaume/wanaume wengine ujue kifo chako ki karibu.
Nadhani hoja ya mwanaume Ni kichwa Cha familia, na kuwa kwanini mwanamke amheshimu mumewe iko hapa pia. Mwanaume Ni kiongozi mwanume ni mamlaka by nature. Controlling power iliyo ndani ya mwanaume Ni kubwa kuliko ya mwanamke katika mambo mengi.
 
Nadhani hoja ya mwanaume Ni kichwa Cha familia, na kuwa kwanini mwanamke amheshimu mumewe iko hapa pia. Mwanaume Ni kiongozi mwanume ni mamlaka by nature. Controlling power iliyo ndani ya mwanaume Ni kubwa kuliko ya mwanamke katika mambo mengi.
Upo sahihi kabisa Mkuu.
 
Back
Top Bottom