Mwanamke anayejitambua hawezi kuwa Mke wa Pili au mchepuko

Naona umehusisha ndoa na kufanya kazi/kuwa na kipato,ndoa siyo ajira bali stara, taasisi murua ya kuendeleza jamii ya watu ili kizazi kiwe na maadili kiishi kama watu na si mbuzi,ni heri aolewe mke wa pili au zaidi asitirike badala ya kuhama maghetto ya wanaume kila mara baada ya kuachana,hawaolewi bali huolewa wenye vigezo vya kuwa wake bora,ndiyo maana wazuri wapo udangani na wabaya ndoani
 
Unafikiri Mwanamke mwenye kipato anaweza kubali kuwa Mke mwenza?

Au Mwanamke mwenye Elimu nzuri anaweza kuwa Mke mwenza?
 
Mchepuko NI mchepuko tuu hata awe na sîfa, hadhi, cheo gani.
Kundi la kutojitambua, kujidharau au kudharauliwa, kutojiheshimu na kutoheshimiwa.

Kama Ndoa imekushinda Omba talaka
Ngoja nikwambie kuna mambo yaache kama yalivyo mfano, mke kaolewa na amezaa watoto let's say 4 na yupo kwa mume mwenye uwezo wa kiuchumi mke hana shida yoyote ya kifedha na mume ni mtu mwenye kujali familia yake na anampenda mkewe, lakini kutokana na sababu kadha wa kadha mume huyu kapoteza uwezo wa tendo la ndoa na mkewe umri ni mid 30s upwiru kama woote sasa anachokifanya mama huyu na ukizingatia ana msambwanda ana anzisha mahusiano na mme wa mtu anaejitambua ambaye jukumu lake ni moja tu kuzagamua kuondoa upwiru kwa huyu mama ili asiwe na stress achangamke sasa unataka aombe talaka ili agundue nini? Acheni watu watatue shida zao kwa hekima walizo nazo na siyo kila kitu kukopy kutoka sijui kwa dini n.k
 
Hakuna Mwanaume anayejielewa àmbaye atafanya zinaa na Mke wa Mtu Kwa kisingizio kuwa Mumewe WA huyo Mke Hana Ñguvu za kiume.
 
Underestimating nyege,hapo muanzaji huwa mke,atajilengesha tu kwa mtu

Wanawake wengi weñye umri wa Miaka 30- 50 wanaotoka wengi hudanganya hivyo ili kuwapumbaza hao wanao-cheat nao...usije ukakubali uongo waô.

Labda Mwanaume mwenzako ndîo akuite akuambie anashida hiyo na anaomba msaada Jambo ambalo NI humu.

Vingine utajikuta kwèñye taabu na yule àmbaye Mkewe alisema anaumwa utashangaa Siku akikupumulia Kwa kishindo. Wengi WA Vijana yamewakuta Hapa Mjini.

Mwanamke kukudanganya NI dakika Moja.
Mwanamke anaweza kusema Mumewe anamdai kinyume na maumbile kumbe uongo sembuse kumwita Hana Ñguvu za kiume
 
Una umri gani bobu!?..watu wanna visukari,wazee na wake zao husaidiwa,we unakuja kuandika nadharia hapa!
 
Kwahiyo umeona hazitoshi, umeamua kutafuta stress zingine!!!
Balancing my happiness, if you know you know!! Weak men marry one wife, strong men "kama Suleiman" posses more🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…