Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Kwahiyo umeona hazitoshi, umeamua kutafuta stress zingine!!!Ole wa nini mama, sitaki kufa mapema. Unanipa stress sana🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo umeona hazitoshi, umeamua kutafuta stress zingine!!!Ole wa nini mama, sitaki kufa mapema. Unanipa stress sana🤣
Yewooomi!! Hivi alikuokotaga wapi🙆🙆🙆Binti yako kawakuta wengine na katulia...
Naona umehusisha ndoa na kufanya kazi/kuwa na kipato,ndoa siyo ajira bali stara, taasisi murua ya kuendeleza jamii ya watu ili kizazi kiwe na maadili kiishi kama watu na si mbuzi,ni heri aolewe mke wa pili au zaidi asitirike badala ya kuhama maghetto ya wanaume kila mara baada ya kuachana,hawaolewi bali huolewa wenye vigezo vya kuwa wake bora,ndiyo maana wazuri wapo udangani na wabaya ndoaniMWANAMKE ANAYEJITAMBUA HAWEZI KUWA MCHEPUKO AU MKE WA PILI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Binti yà ngu, kwetu Watibeli ni mwiko Kwa Binti zetu kuolewa Mke wa Pili au Uke Wenza au Kuwa mchepuko.
Huko ni kutojitambua, kujidhalilisha na dalili ya umaskini na uvivu.
Wewe siô mzuri mpaka úwe Mke WA pili au úwe mchepuko?
Wewe siô mchapakazi na mwenye uwezo wa kujitegemea mpaka úwe Mke WA pili au mchepuko.
Mwanamke mwenye mzuri kwelikweli hawezi kuwa Mchepuko au Mke WA pili. Hakunaga huyo Mwanamke.
Mwanamke anayefanya Kazi na kujitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko.
Kama nilivyokufunza Binti yà ngu, kuwa Sisi Watibeli kufanya Kazi ni Dini. Lazima ufanye Kazi uweze kujitegemea mwenyewe.
Ndoa pia ni Dini lakini haimaanishi úwe Mke wa Pili au mchepuko.
Ukijitegemea Huwezi kuwa Mke WA pili Daima dawamu.
Kitu kizuri huwa chaguo la Kwanza. Kitu kinachopendwa huwa chaguo la Kwanza Binti yà ngu. Usikubali kuwa na kuitwa wa ziada au nyongeza. Wewe siô wanyonyeza. Wewe NI wathamani.
Úkiwa mvivu na mwenye kumtegemea Mwanaume, hutaki kufanya Kazi na kujitegemea unavunja utu wako na Kwa hakika Watu watakudharau ikiwemo kuwekwa mchepuko au Mke wa Pili.
Kuolewa Mke WA pili au mchepuko NI kukosa Soko, haiwezeniki Wanawake wenzako Kila Siku wanaolewa na kupata Wanaume waô wènyewe alafu wewe úwe mpà ngo wa kando au Mke WA Pili.
Huo ni Mkosi
Huko ni kujichafulia Ñyota yako. Kuizim.
Kuitwa Mke mdogo Binti yà ngu siô Sifa Njema. Wewe siô Bi. Mdogo. Nilikuzaa úwe Mke Mkubwa Kwa Mwanaume atakayekupa First priority. Sikukuzaa uitwe Bi. Mdogo au Nyumba ndogo.
Wewes siô Bi. Mdogo.
Nyumba yako Kamwe isiitwe Nyumba ndogo.
Kamwe Usiitwe Mpà ngo wa kando au mchepuko. Wewe ni Njia kuu, Mke Mkubwa. Nyumba kûbwa.
Wewe ni Highway, michepuko itoke kwako hiyo siô kesi lakini siô wewe ati úwe mchepuko Kutoka Njia kuu. Huko ni kujidhalilisha. Binti za Tibeli Kamwe na haitokuja kutokea wakawa na sîfa hiyo.
Kwani unaharaka gà ni?
Wanaume wa kukuoa wà po anakimbilia kuwa Mke WA pili au mchepuko ili kushusha hadhi na Ñyota yako Maisha yako yôte Kisa nini?
Fanya Kazi wewe NI Mwanamke unayeweza kujitegemea.
Elewa, Mwanamke mzuri anayefanya Kazi akajitegemea hawezi kuwa Mke WA pili au mchepuko Kwa sababu Wanaume weñye Akili hujua thamani yake na watamuoa akiwa nafasi ya Kwanza.
Fanya Kazi, linda heshima yako na thamani yako kama Mwanamke.
Masuala ya kusema mbona Zamani Bibi zako walikuwa wanaolewa Wake Wenza au Michepuko hiyo ilikuwa Zamani Wakati Wanawake wakiwa watumwa.
Tenà hata hizô Zamani Binti za Tibeli na Wanawake wa Tibeli hawakuwahi kuolewa Mke wa Pili Wala kuwa michepuko.
Hiyo siô desturi ya Wanawake Bora wanaojitambua.
Hilo la Mke WA pili au mchepuko Acha Wengine wafanye lakini siô wewe Binti yà ngu. .
Baadhi ya Mapokeo ya Dini à mbayo hayakufuata HAKI Bali yalifuata matamanio ya Wanadamu na matamanio ya waandishi wa Wakati huo usiyafuate.
Mimi Baba yako, na Mama yako ndivyo tulivyokuagiza hayo. Yasikilize maneno yà ngu
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Naona umehusisha ndoa na kufanya kazi/kuwa na kipato,ndoa siyo ajira bali stara, taasisi murua ya kuendeleza jamii ya watu ili kizazi kiwe na maadili kiishi kama watu na si mbuzi,ni heri aolewe mke wa pili au zaidi asitirike badala ya kuhama maghetto ya wanaume kila mara baada ya kuachana,hawaolewi bali huolewa wenye vigezo vya kuwa wake bora,ndiyo maana wazuri wapo udangani na wabaya ndoani
Wapo wengi tu,tena huomba kuolewa uke wenzaUnafikiri Mwanamke mwenye kipato anaweza kubali kuwa Mke mwenza?
Au Mwanamke mwenye Elimu nzuri anaweza kuwa Mke mwenza?
Ngoja nikwambie kuna mambo yaache kama yalivyo mfano, mke kaolewa na amezaa watoto let's say 4 na yupo kwa mume mwenye uwezo wa kiuchumi mke hana shida yoyote ya kifedha na mume ni mtu mwenye kujali familia yake na anampenda mkewe, lakini kutokana na sababu kadha wa kadha mume huyu kapoteza uwezo wa tendo la ndoa na mkewe umri ni mid 30s upwiru kama woote sasa anachokifanya mama huyu na ukizingatia ana msambwanda ana anzisha mahusiano na mme wa mtu anaejitambua ambaye jukumu lake ni moja tu kuzagamua kuondoa upwiru kwa huyu mama ili asiwe na stress achangamke sasa unataka aombe talaka ili agundue nini? Acheni watu watatue shida zao kwa hekima walizo nazo na siyo kila kitu kukopy kutoka sijui kwa dini n.kMchepuko NI mchepuko tuu hata awe na sîfa, hadhi, cheo gani.
Kundi la kutojitambua, kujidharau au kudharauliwa, kutojiheshimu na kutoheshimiwa.
Kama Ndoa imekushinda Omba talaka
Ngoja nikwambie kuna mambo yaache kama yalivyo mfano, mke kaolewa na amezaa watoto let's say 4 na yupo kwa mume mwenye uwezo wa kiuchumi mke hana shida yoyote ya kifedha na mume ni mtu mwenye kujali familia yake na anampenda mkewe, lakini kutokana na sababu kadha wa kadha mume huyu kapoteza uwezo wa tendo la ndoa na mkewe umri ni mid 30s upwiru kama woote sasa anachokifanya mama huyu na ukizingatia ana msambwanda ana anzisha mahusiano na mme wa mtu anaejitambua ambaye jukumu lake ni moja tu kuzagamua kuondoa upwiru kwa huyu mama ili asiwe na stress achangamke sasa unataka aombe talaka ili agundue nini? Acheni watu watatue shida zao kwa hekima walizo nazo na siyo kila kitu kukopy kutoka sijui kwa dini n.k
Underestimating nyege,hapo muanzaji huwa mke,atajilengesha tu kwa mtuHakuna Mwanaume anayejielewa à mbaye atafanya zinaa na Mke wa Mtu Kwa kisingizio kuwa Mumewe WA huyo Mke Hana Ñguvu za kiume.
Hilo hilo dogo hao walobakia wafanye kipi?Hizo ni propaganda.
Hakuna gap la kutisha Baina ya idadi ya Wanaume na Wanawake Duniani
Mke wa pili siyo second option,maana hakuwepo wakati wa process ya ndoa ya kwanza
Underestimating nyege,hapo muanzaji huwa mke,atajilengesha tu kwa mtu
Underestimating nyege,hapo muanzaji huwa mke,atajilengesha tu kwa mtu
Mke wa pili siyo second option,maana hakuwepo wakati wa process ya ndoa ya kwanza
Una umri gani bobu!?..watu wanna visukari,wazee na wake zao husaidiwa,we unakuja kuandika nadharia hapa!Wanawake wengi weñye umri wa Miaka 30- 50 wanaotoka wengi hudanganya hivyo ili kuwapumbaza hao wanao-cheat nao...usije ukakubali uongo waô.
Labda Mwanaume mwenzako ndîo akuite akuambie anashida hiyo na anaomba msaada Jambo ambalo NI humu.
Vingine utajikuta kwèñye taabu na yule à mbaye Mkewe alisema anaumwa utashangaa Siku akikupumulia Kwa kishindo. Wengi WA Vijana yamewakuta Hapa Mjini.
Mwanamke kukudanganya NI dakika Moja.
Mwanamke anaweza kusema Mumewe anamdai kinyume na maumbile kumbe uongo sembuse kumwita Hana Ñguvu za kiume
Balancing my happiness, if you know you know!! Weak men marry one wife, strong men "kama Suleiman" posses more🤣🤣Kwahiyo umeona hazitoshi, umeamua kutafuta stress zingine!!!
Subiri wafia dini wa madina na maka waje
Una umri gani bobu!?..watu wanna visukari,wazee na wake zao husaidiwa,we unakuja kuandika nadharia hapa!