mi bado naisimamia pointi yangu ya ''MAGAZETI YA SHOGONGO'' kwasababu za msingi kabisa kwamba wapo wanaoishi hivyo (mke kuzidi kipato),na maisha yanaenda.hizo theories nyingine ni THINKING ATTITUDE OF MEN'S MIND..!KWAMBA THEY LIKE TO DOMINATE...!
hapa hupingani wala hujazi challenge journal bali umekubaliana nazo kuwa MAN LIKE TO DOMINATE
na kuna wanawake ambao wameshausoma huo udhaifu wanachokifanya ni kwamba kama wanataka kufanya malipo yoyote yale WATAMPA MWANAUME ZILE HELA ALIPE...!
wengine tunao hadi maeneo yetu ya kazi wamewapa waume zao hadhi ya kuwa ma-signatory JUST TO ERADICATE THAT INFIRIORITY COMPLEX YA WANAUME!..wanadefend ndoa zao
wengine tunao humu humu jf ''they have exhaused their cash just to defend marriage zao''
hapa umekubali kuwa katika hali ya kawaida mwanamke mwenye cash hawezi kuwa na mwanamme asonazo mpaka ajishushe cheo chake na ajifanye dhaifu, na chini ya mwanamme.......Sawa na kilichosemwa kwenye journals
kinachosumbua wanaume wengi ni ile INFERIORITY COMPLEX...!
hapa ndo tunarudi kule kule tunakokusema sisi na kilichokuwa proved kwenye journals .............Wanaume wana inferiority complex kwa hiyo THEY DO NOT WANT kuwa kwenye relationship na wanawake wenye uwezo wa kifedha au kijamii zaidi yao. Journals zinaongezea kuwa kutokana na sbabu hiyo, kila mwanamke anapopata cheo katika jamii, pesa au elimu nafasi zake za kupata partner in life zinapungua (hujapinga journal bali umekubaliana nako)
time for changes now!
The way you were sounding as if the changes has come .............kumbe ndio kwanza time FOR changes?! basi hayo mabadiliko hayajatokea bado, labda yatokeee katika siku za usoni.
i can't go for the journals wakati naona kinachoendelea na i can challange those journals of yours
huja challenge journal hata moja ............bali umezikubali ( yaweza kuwa bila ya kujua, but haufutiki ukweli kuwa unakubaliana nazo)