Mwanamke anayejiweza kimaisha

Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
hehehe!
mi sio strerring as you can see everybody is on my face!...lakin hawajui wanachokibishia
kawaida ya stering anakuwa anapigana na majamaa kibao halaf mwisho anashinda . go teamo gooo:horn::horn:
 
mi bado naisimamia pointi yangu ya ''MAGAZETI YA SHOGONGO'' kwasababu za msingi kabisa kwamba wapo wanaoishi hivyo (mke kuzidi kipato),na maisha yanaenda.hizo theories nyingine ni THINKING ATTITUDE OF MEN'S MIND..!KWAMBA THEY LIKE TO DOMINATE...!

hapa hupingani wala hujazi challenge journal bali umekubaliana nazo kuwa MAN LIKE TO DOMINATE

na kuna wanawake ambao wameshausoma huo udhaifu wanachokifanya ni kwamba kama wanataka kufanya malipo yoyote yale WATAMPA MWANAUME ZILE HELA ALIPE...!

wengine tunao hadi maeneo yetu ya kazi wamewapa waume zao hadhi ya kuwa ma-signatory JUST TO ERADICATE THAT INFIRIORITY COMPLEX YA WANAUME!..wanadefend ndoa zao

wengine tunao humu humu jf ''they have exhaused their cash just to defend marriage zao''

hapa umekubali kuwa katika hali ya kawaida mwanamke mwenye cash hawezi kuwa na mwanamme asonazo mpaka ajishushe cheo chake na ajifanye dhaifu, na chini ya mwanamme.......Sawa na kilichosemwa kwenye journals

kinachosumbua wanaume wengi ni ile INFERIORITY COMPLEX...!

hapa ndo tunarudi kule kule tunakokusema sisi na kilichokuwa proved kwenye journals .............Wanaume wana inferiority complex kwa hiyo THEY DO NOT WANT kuwa kwenye relationship na wanawake wenye uwezo wa kifedha au kijamii zaidi yao. Journals zinaongezea kuwa kutokana na sbabu hiyo, kila mwanamke anapopata cheo katika jamii, pesa au elimu nafasi zake za kupata partner in life zinapungua (hujapinga journal bali umekubaliana nako)

time for changes now!

The way you were sounding as if the changes has come .............kumbe ndio kwanza time FOR changes?! basi hayo mabadiliko hayajatokea bado, labda yatokeee katika siku za usoni.

i can't go for the journals wakati naona kinachoendelea na i can challange those journals of yours

huja challenge journal hata moja ............bali umezikubali ( yaweza kuwa bila ya kujua, but haufutiki ukweli kuwa unakubaliana nazo)
mimi sijaona ninapoikubali journal mpaka sasa!
forget about the formulaz na intergration stuff...!
strait to the fact SIJAIKUBALI JOURNAL

labda uuthibitishie umma kuwa journal ni hansad za vikao vya baa au magazeti ya shigongo!
topic imekaa hivi
Re: Mwanamke anayejiweza kimaisha-

na mimi nasema hivi:
hakuna swala la kujiweza kwenye mapenzi...!
provided mnapendana mnaenda tu mpaka mwisho

journal zinasemaje?
 
Hapa tunajadili journals au wanawake wenye hela zao?

BTW leo tunakamatana kwa Viki, Esther, Mary, au kwa mshikiz?? Jibu haraka, nataka kuweka OVADRAIVU hapa!!
:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
 
Hapa tunajadili journals au wanawake wenye hela zao?

BTW leo tunakamatana kwa Viki, Esther, Mary, au kwa mshikiz?? Jibu haraka, nataka kuweka OVADRAIVU hapa!!
hehehe aspirin bana! hapa leo niko na ugoro wa azebeijan. tukirudi kwenye topik hata sijui nichangie nini , naona sredi haieleweki kama nyimbo za kandabongo man.
 
kawaida ya stering anakuwa anapigana na majamaa kibao halaf mwisho anashinda . go teamo gooo:horn::horn:
hehehe!
ngoja nitoke nje ya ofisi nikaaaaaa:A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking::A S-smoking:
 
hehehe aspirin bana! hapa leo niko na ugoro wa azebeijan. tukirudi kwenye topik hata sijui nichangie nini , naona sredi haieleweki kama nyimbo za kandabongo man.
ULE WA ALAJI ALAJI ALAJI UNAUELEWA MWANACHAMA MWENZANGU WA TIBA? Halafu kuna mtu anaitwa kwinini humu ndani anataka kuyaingilia maslahi yako dhidi ya malaria
 
ULE WA ALAJI ALAJI ALAJI UNAUELEWA MWANACHAMA MWENZANGU WA TIBA? Halafu kuna mtu anaitwa kwinini humu ndani anataka kuyaingilia maslahi yako dhidi ya malaria
hehehe nimemripoti tayari kwenye pharmacy za afrika mashariki na kati, naandaa albamu la antivirus dhidi yake. chorus itawekwa na mwanakijiji.
 
Wandugu za leo,

Hivi ukikutana na mwanamke umempenda na unatamani awe wako wa milele (kumuoa) lakini unakuta bahati nzuri (au mbaya kwa wengine) huyo mwanamke yuko safi kimaisha kazi nzuri kama pesa anazo kama mali anazo pia (sio hawa wamama watu wazima hapana wadada tu wenye umri unaofaa kuolewa) utamuoa hata kama wewe huna thamani ya kiuchumi aliyo nayo?

kwa nini nimeuliza hivi, kwa sababu katika mazungumzo ya kawaida tu jana kuna rafiki yangu akaniambia watu wataogopa kutangaza nia kwangu nikiendelea kujijenga kimaisha and it got me thinking.

Sasa wanaume utamuoa tu huyo dada hata kama wewe hali yako si fresh? na wadada utakuwa bread provider kwa huyo mumeo? mapenzi yana nafasi yake na pia uwezo kiuchumi una nafasi. zamani haikuwa hivi lakini kadri siku zinavyozidi kusonga mbele mambo yanabadilika
.

suala la muhimu hapo si uwezo wa wachumba kiuchumi bali ni upendo wa dhati,dhamila ya na nia ya kweli ya kuanzisha familia yenye upendo na mshikamano
 
hehehe nimemripoti tayari kwenye pharmacy za afrika mashariki na kati, naandaa albamu la antivirus dhidi yake. chorus itawekwa na mwanakijiji.
Hiyo vita nitakuwa upande wako! mkong'ote za usoni afu mi simpi pain killer!!
 
Hiyo vita nitakuwa upande wako! mkong'ote za usoni afu mi simpi pain killer!!
heheheh lazima uoneshe uzalendo wa CCP (chama cha pharmacy)! nimegonga senksi ili kuashiria umoja na ushirikiano kwa tableti zetu
 
Asprin bwana! Mbona mnata kumnyanyapaa mwanamke!

Hivi asisome mpaka uwezo wake utakapomfikisha kwa kuhofia kukosa mume ?

Hivi hata Kama ana uwezo wa kutafuta pesa asiitafute kisa mume?

We soma, faranga zisake after all who said ni lazima uolewe. Hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini mwanamke anaolewa? Ukifuatilia vizuri kwenye lugha zetu karibia zote za ki-tz na kiafriaka for that matter utaona kuwa mwanamke anaolewa,......Akili kumkichwa hapo.
 
nimeipenda hii!....
tunarudi kule kule....!
DOMINANCE
 
lakini wadau pesa na mali ni material things tu kinachomatter ni mapenzi ya kweli kati ya hao watu wawili na ofcourse tabia nzuri isiyo na manyanyaso na maringo.

Hiyo ya Asprin kwamba mtu mwenye phd aolewe na mwenye phd bado sijaikubali
Unajua JS ukifuatilia mambo kwa ukaribu hapa duniani utaona kuwa at one point or another it is all about power, hapo ndiyo tatizo linapoanzia.
 
Unajua JS ukifuatilia mambo kwa ukaribu hapa duniani utaona kuwa at one point or another it is all about power, hapo ndiyo tatizo linapoanzia.
nail it pal!
lakini hoja inayorud mezani ni kwamba:
''tumezoea kuona wanawake wakiwa overpowered!the way i see it NOW ni kwamba pesa ni moja ya vigezo mtambuka vya kuendeleza mfumo huo ''DUME''...''
 
Back
Top Bottom