Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Halafu wewe........................
You know it's hard out here for a pimp......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wewe........................
Wanazuia jua jamani na siri ni urembo....................:tongue:
JS jua linakuwa kali wakiwa kwenye gari au hata wakati wanasaga lami kabla ya kupata hayo magari kutoka Autorec au Japanesvehicle.com?
hahahaha kiongozi naona umegonga ikulu!!:nod:
Linakuwa kali kotekote kwenye gari binafsi kwenye lami kwenye daladala

Aaaaaaaaaa Kaizer mbona hivyo? halafu sijakuelewa kuhusu miwani ya jua hebu elezea zaidi....
Hayo ndiyo yanayowafanya baadhi ya mbayu wayu kutimka mapema. Mtu anakuwa mpole, lugha nzuri wakati anasaga lami. Ila anapopata kazi nzuri mahali na kupanga apartment + mchuma, hata lugha inabdilika kabisa. Hiyo miwani wanavaa hata saa 2 usiku. Ni ya jua kweli na mtangazi kuwa hapo shida hakuna tena?
Apo mdogo wangu mwogope Mungu (japo najua huvai) lakini kweli kwenye gari kunakuwa na jua? mbona basi magari mengi yanayoendeshwa hapa sio convertibles? Mtu unakuta yupo kwanye Rav 4 ya kawaida tu or whatever, yenyewe vioo ni tinted, na mtu kavaa miwani ya jua, na pengine hata siku hiyo hakuna jua!
the other thing is hamshangai wanaume hawavai? na kwa nini iwe tu pale mtu anapopata mkoko kabla unakuta yuko kawaida tu wala havai miwani....na je daktari anakuwa amewapima jamani?

Heee wewe vipi mwenzetu whats happening to you?????