Angekuwa bado yupo yupo, ningemwambie yeye aende tu ahalafu aje atueleze. Hakuna haja ya kuwa Guinea pia kwani kila kitu kiko wazi tu. Hakuna mtu anapenda kuishi maisha ambayo yuko insecure. Na mbaya sana tena sana mwanamume (halafu wa ki-Afrika) akiwa na inferiority complex. Ni hatari kuliko ukoma. Ndo maana sisi (kwa mambo yote ambayo tumeyaona, sufficient to be more scientific), tunawashauri wadogo zetu wasijaribu ku-cross boundary za mambo muhimu ya kijamii. Kama hawataki basi, lakini wasije kusema kuwa hatukuwaeleza.