Mwanamke anayejiweza kimaisha

Mwanamke anayejiweza kimaisha

  • Thread starter Thread starter JS
  • Start date Start date
Unaonaje ukitu-prove wrong SCIENTIFICALLY?
i prove you wrong in TOTAL!
I NO SEE ANY FINDING,I NO SEE ANY EXPERIMENT SO FAR,I NO SEE ANY EQUATION HEREIN......!

i hereby declare your theories NULL AND VOID!..

ngoja niwaongezee wigo basi.....!TAFUTENI PENAL-CODE MNIPE any case of the like just TO MATCH WITH YOUR VOID AND FALLACY THEORIES
 
JS wengi watakuogopa lkn atatokea tu 'jasiri' akupende Kama ulivyo na mali mali zako. Na atakuendesha na kuwa kichwa ya familia bila ya kuudhiwa na Mali zako

kaza buti mwaya..... Jijenge usisubiri kuolewa
labda useme atatokea mjasiriamali..hahahahah.
 
hivi atatamkiwa tu bila kisa?..na nikikutamkia c nakuambia ukweli wako, nakumbuka ndugu yangu yeye alifanya kimtimua kabisa mume ndani coz alimfumania, nikufumanie unaishi chini ya paa langu nililolitolea jasho then nishindwe kufanya la kufanya ili iweje....

Teamo aje hapa aone hii SCIENTIFIC STATEMENT hapa!!
 
Karibuni chakula cha mchana Kempinski...............kila kitu juu yangu........................:tongue::tongue::tongue::tongue::tongue:
 
i tender to differ brother!...
mimi sijaona kilicho wazi hapa

sanasana naiona taswira ya ''mwendelezo wa mfumo-dume kwa mbaaaali''

Mkuu kama unataka kuuona mfumo jike kwa ku-overhaul mfumo dume basi jiandae kubeba fito badala kuona nyumba zimesimama. Na pia vitu vingine havihitaji proofs kwa sababu ni feelings. Hivi unaweza kutupatia scientific proof kwamba mtu akichukia anakuwa hivi au vile? Kwa hiyo mzee, insecurity ni feeling kama ilivyo hasira. Na utatusaidia kama unaweza kututajia experimental design ya kufanya empirical tests za feelings!! Hata hivyo ujue kuwa feelings zinatawala zaidi ya 80% ya maisha yetu!

ngoja nikachekee nje kidogo:nod:

Leo kijana analo lake jambo! Msaidieni basi kufunua kope ili hayo macho yaone huu ubao mweupe. Kwani namwonea huruma retrospectively!!
 
mambo ya hela sijui nini NI VERY IMMATERIAL when it comes to true love!

tatizo ni kwamba wanaume tuna ile notion ya DOMINANCE kwenye ndoa zetu ndo maana ''we would like to control kila kitu FINANCIALLY''.

mimi napingana na hizo ideas kwasababu hii ni dunia nyingine kabisa!

maanake sasa watoto wa wakubwa wangekuwa hawaolewi.....!kwamba mtoto wa clinton kaolewa na mtoto wa BILIGATES?ABRAMOVICH?AU KAOLEWA NA MTOTO WA SHEIKH MAKTHOOM WA DUBAI?
 
Teamo aje hapa aone hii SCIENTIFIC STATEMENT hapa!!

huu mfano ni kote kote, ni kama wewe umfumanie mama matesha c utamtimua kwako? bac na mie nitakutimua coz ni kwangu.
 
Teamo hizi hoja zako ninalenga zaidi masilahi binafsi kuliko uhalisia....JS hebu msikilize huyu jamaa ili akili yake irejee mahala pake....
 
Mkuu kama unataka kuuona mfumo jike kwa ku-overhaul mfumo dume basi jiandae kubeba fito badala kuona nyumba zimesimama. Na pia vitu vingine havihitaji proofs kwa sababu ni feelings. Hivi unaweza kutupatia scientific proof kwamba mtu akichukia anakuwa hivi au vile? Kwa hiyo mzee, insecurity ni feeling kama ilivyo hasira. Na utatusaidia kama unaweza kututajia experimental design ya kufanya empirical tests za feelings!! Hata hivyo ujue kuwa feelings zinatawala zaidi ya 80% ya maisha yetu!

Leo kijana analo lake jambo! Msaidieni basi kufunua kope ili hayo macho yaone huu ubao mweupe. Kwani namwonea huruma retrospectively!!
shida inakujaje......!
ki-jf jf tunahitaji scientific derivations....!ambazo speaking of your case(mambo ya feelings kama hasira/frustrations na nini) mwisho wa siku wanasayansi watadeal na OUTCOMES/MATOKEO kama depression ao hypertension na ma adrenaline ma nini basi!
 
Teamo hizi hoja zako ninalenga zaidi mashilahi binafsi kuliko uhalisia....JS hebu msikilize huyu jamaa ili akili yake irejee mahala pake....
naona wewe ndo umekosa hoja kabisa!.....
ndo maana nasema ukienda gesti oga kabisa!
 
( Hommie huu mnada wa nane nane mnaniachia mwenywe sio? au na lenyewe linahitaji sayansi?):spy:
(Tatizo nanenane imeibukia jumapili.... agrrrrrrrrr):bored::bored:
 
labda useme atatokea mjasiriamali..hahahahah.

Mimi bado kuelewa hiyo concept ya true love kwa watu wanaoishi dunia tofauti. Mtu anacheza na e-world wakati mwenzake anaganga njaa kupata chai kwa muhogo na mlo mmoja kwa siku halafu unambie itakuja true love kama siyo Zali la mentali? I cannot understand this thing??

Teamo aje hapa aone hii SCIENTIFIC STATEMENT hapa!!

Mshikaji leo ana zaidi ya hangover!! Science anayotaka leo ni yake peke yake!!

mambo ya hela sijui nini NI VERY IMMATERIAL when it comes to true love!

tatizo ni kwamba wanaume tuna ile notion ya DOMINANCE kwenye ndoa zetu ndo maana ''we would like to control kila kitu FINANCIALLY''.

mimi napingana na hizo ideas kwasababu hii ni dunia nyingine kabisa!

maanake sasa watoto wa wakubwa wangekuwa hawaolewi.....!kwamba mtoto wa clinton kaolewa na mtoto wa BILIGATES?ABRAMOVICH?AU KAOLEWA NA MTOTO WA SHEIKH MAKTHOOM WA DUBAI?

Mkuu hebu kwanza google mara moja upate tofauti kati estrogen na testosterone ndo uatajua kitu gani kinamfanya mtu aitwe mwanamke au mwanamume ukiachana na dudus!!

Ila ubarikiwe sana kama wewe unaamini na umebahatika ku-experience kuwa pesa ni immaterial katika relationships.

Mimi baada ya kuoa niliambiwa hivi, "The best husband is the one who can make more money that his wife can spend and the best wife is the one who can make her husband smile all the times"! Kwa zaidi ya miaka 10 sasa (tena siyo kwenye njozi ya kutembeleana once a week) nimeyaona hayo na sihitaji science kuyaamini ingawa mwanzoni hao jamaa niliwaona machizi!
 
(Tatizo nanenane imeibukia jumapili.... agrrrrrrrrr):bored::bored:
Hapa ndo ninapom-miss mzee ruksa na sheria ya kufidia sikukuu inapoangukia wikiendi....:disapointed:
 
huu mfano ni kote kote, ni kama wewe umfumanie mama matesha c utamtimua kwako? bac na mie nitakutimua coz ni kwangu.
i am oficially applying TO DIFFER WITH YOU!....
i mean hiyo ni ONESELF REACTION!....and guess what ni udhaifu mkubwa...
inaweza kuwa ni uamuzi sahihi lakini on the other hand sio sahihi(UNLESS YOU PROVE IT SCIENTIFICALLY)

kwasaabu gani....!wapo waliowafukuza wake zao kwa kuwafumania mara moja,AGAIN WALIKUJA KUOA WANAWAKE AMBAO WALIKUWA WANAWAFUMANIA MARA MOJA KILA WIKI!....the opposite is the case then!

lakini pia sijawahi kuona mwanamke anamtimua mwanaume ''chini ya jua''
 
Mimi baada ya kuoa niliambiwa hivi, "The best husband is the one who can make more money that his wife can spend and the best wife is the one who can make her husband smile all the times"! Kwa zaidi ya miaka 10 sasa (tena siyo kwenye njozi ya kutembeleana once a week) nimeyaona hayo na sihitaji science kuyaamini ingawa mwanzoni hao jamaa niliwaona machizi!
the theory is no longer into application!.....
hiyo inafanana na zile theory za ''kazi ya mwanamke ni kunizalia watoto''

maisha yamebadilika kiongozi!.....
 
Back
Top Bottom