Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Hebu nipe equation halafu unipe na limits!
( Hommie huu mnada wa nane nane mnaniachia mwenywe sio? au na lenyewe linahitaji sayansi?):spy:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nipe equation halafu unipe na limits!
i prove you wrong in TOTAL!Unaonaje ukitu-prove wrong SCIENTIFICALLY?
:ranger::ranger::ranger::ranger:
Unaonaje ukitu-prove wrong SCIENTIFICALLY?
ukimaliza uje ujibu huku!.....ngoja nikachekee nje kidogo:nod:
labda useme atatokea mjasiriamali..hahahahah.JS wengi watakuogopa lkn atatokea tu 'jasiri' akupende Kama ulivyo na mali mali zako. Na atakuendesha na kuwa kichwa ya familia bila ya kuudhiwa na Mali zako
kaza buti mwaya..... Jijenge usisubiri kuolewa
hivi atatamkiwa tu bila kisa?..na nikikutamkia c nakuambia ukweli wako, nakumbuka ndugu yangu yeye alifanya kimtimua kabisa mume ndani coz alimfumania, nikufumanie unaishi chini ya paa langu nililolitolea jasho then nishindwe kufanya la kufanya ili iweje....
Zali la mentali hilo mkuu....kazi kwako.Sina hela ila naweza kushare na wewe chochote nilichonacho
i tender to differ brother!...
mimi sijaona kilicho wazi hapa
sanasana naiona taswira ya ''mwendelezo wa mfumo-dume kwa mbaaaali''
ngoja nikachekee nje kidogo:nod:
Teamo aje hapa aone hii SCIENTIFIC STATEMENT hapa!!
mambo ya hela sijui nini NI VERY IMMATERIAL when it comes to true love!
tatizo ni kwamba wanaume tuna ile notion ya DOMINANCE kwenye ndoa zetu ndo maana ''we would like to control kila kitu FINANCIALLY''.
mimi napingana na hizo ideas kwasababu hii ni dunia nyingine kabisa!
maanake sasa watoto wa wakubwa wangekuwa hawaolewi.....!kwamba mtoto wa clinton kaolewa na mtoto wa BILIGATES?ABRAMOVICH?AU KAOLEWA NA MTOTO WA SHEIKH MAKTHOOM WA DUBAI?
shida inakujaje......!Mkuu kama unataka kuuona mfumo jike kwa ku-overhaul mfumo dume basi jiandae kubeba fito badala kuona nyumba zimesimama. Na pia vitu vingine havihitaji proofs kwa sababu ni feelings. Hivi unaweza kutupatia scientific proof kwamba mtu akichukia anakuwa hivi au vile? Kwa hiyo mzee, insecurity ni feeling kama ilivyo hasira. Na utatusaidia kama unaweza kututajia experimental design ya kufanya empirical tests za feelings!! Hata hivyo ujue kuwa feelings zinatawala zaidi ya 80% ya maisha yetu!
Leo kijana analo lake jambo! Msaidieni basi kufunua kope ili hayo macho yaone huu ubao mweupe. Kwani namwonea huruma retrospectively!!
naona wewe ndo umekosa hoja kabisa!.....Teamo hizi hoja zako ninalenga zaidi mashilahi binafsi kuliko uhalisia....JS hebu msikilize huyu jamaa ili akili yake irejee mahala pake....
(Tatizo nanenane imeibukia jumapili.... agrrrrrrrrr):bored::bored:( Hommie huu mnada wa nane nane mnaniachia mwenywe sio? au na lenyewe linahitaji sayansi?):spy:
labda useme atatokea mjasiriamali..hahahahah.
Teamo aje hapa aone hii SCIENTIFIC STATEMENT hapa!!
mambo ya hela sijui nini NI VERY IMMATERIAL when it comes to true love!
tatizo ni kwamba wanaume tuna ile notion ya DOMINANCE kwenye ndoa zetu ndo maana ''we would like to control kila kitu FINANCIALLY''.
mimi napingana na hizo ideas kwasababu hii ni dunia nyingine kabisa!
maanake sasa watoto wa wakubwa wangekuwa hawaolewi.....!kwamba mtoto wa clinton kaolewa na mtoto wa BILIGATES?ABRAMOVICH?AU KAOLEWA NA MTOTO WA SHEIKH MAKTHOOM WA DUBAI?
Hapa ndo ninapom-miss mzee ruksa na sheria ya kufidia sikukuu inapoangukia wikiendi....:disapointed:(Tatizo nanenane imeibukia jumapili.... agrrrrrrrrr):bored::bored:
i am oficially applying TO DIFFER WITH YOU!....huu mfano ni kote kote, ni kama wewe umfumanie mama matesha c utamtimua kwako? bac na mie nitakutimua coz ni kwangu.
the theory is no longer into application!.....Mimi baada ya kuoa niliambiwa hivi, "The best husband is the one who can make more money that his wife can spend and the best wife is the one who can make her husband smile all the times"! Kwa zaidi ya miaka 10 sasa (tena siyo kwenye njozi ya kutembeleana once a week) nimeyaona hayo na sihitaji science kuyaamini ingawa mwanzoni hao jamaa niliwaona machizi!