Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Eee, nyuki wa porini unaokuta wamejikusanya tu kwenye gome la mti hovyo kienyeji, asali yao ni tamu kuzidi ya wanaofugwa kwenye mizinga. Chukua hiyo pia😊
Nyuki nnaowajua wa porini na mijini ndio hao hao wakuhamahama, ila kuna nyuki wadogo hata asali yake inauzwa ghali