ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nishatongoza Sana wadada Na bado tukaachana.sikuwahi kufikiria Kama nitakuja kukosa mke wa kuoa kwani wadogo zangu wengi tu wanaishi na wake zao na Wana watoto tayari.labda kwa sababu Mimi nilikuwa shule muda mrefu, nimechagua wengi naona hatuendani.
Mpaka sasa hivi sijapata mwanamke hata mmoja ambaye walau hata tumetambulishana kwa ndugu Kama wachumba.kazi ninayo yenye kunipa hela walau ya kula Mimi na mke wangu Ila ndo hivyo sipati mchumba ambaye tutadumu uchumbani hata miezi sita tu. Najiulizaga nyie ambao mmeoana mliwekanaje ndani mlijikuta tu ndani au mlikubaliana huko nje kwamba aje aanze kulala na wewe Kama mke na mume.
Yaani sielewi kabisa sijui ndo corona imeharibu system za maisha Sina hakika Kama bado watu wanapata wachumba na kuoa nimechoka mapenzi ya Sasa hivi sio ya kweli tunawindana.natamani mtoto ila sitaki atoke nje ya ndoa yaani nataka mke wangu ndo anizalie watoto Na niishi naye maishani.
Nikasemaga labda nianze kwenda kanisani huenda nikapata mke mzuri ila huko kanisan nikawa nikitongoza wananikataa.nikitongoza wa mtaani nawapata ila ndo machepele sitaki hata kusex nao bila condom kwa sababu sitaki kuzaa nao (wengi Ni single maza).
Mwisho nimeamua tu kutulia Sasa hv niwe msafi wa roho na mwili(sijisifu Bali biblia hasa nyaraka za kina Paulo kwa makanisa inanisaidia sana kila navyozidi kuisoma na kuielewa bidii zinaongezeka na Ni kwa neema tu ya mwenyeziMungu).Na nimepata maono kuwa mke wangu atakuja kwa stlye ya kunitongoza yeye yaani atakuja mwanamke huyo Ana sifa zote Tena anaweza akawa Ni bikra kabisa huyo ndo tutakwenda naye pamoja atanitamkia waziwazi kuwa ananipenda na anahitaji niwe mumewe. Amina.