kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
Niko huku congo kuna kazi nimekuja kufanya sasa nimemaliza ndio màana unaona niko online maana nafarijika naona kama niko home tu aise ujue
Niko huku congo kuna kazi nimekuja kufanya sasa nimemaliza ndio màana unaona niko online maana nafarijika naona kama niko home tu aise ujue
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole best pambana na majukumuKumbee sasa mm niko busy kazin mchana narud hoii hata Jf inanishinda saivi kuingia
Sent using Jamii Forums mobile app
Demu hata awe mzuri vip kama ningemkuta hapo badoo kutokana na sifa hizi..hata bure siwezo muoa
Sema sijawahi ingia platforms ya Badoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mzigo niliukosa chupu chupu nilipokuwa Moro [emoji16][emoji39][emoji39][emoji39]