venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,583
- 3,684
Ha,haaaaa....rayyoungr
Haya bhana,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha,haaaaa....rayyoungr
siitaki ndio mana sipo nayoaiee muheshimiwa install hio app bana
Nenda kwenye profire settingUnawezaje kudelete mkuu, hata mtu akikusearch asikuone?
aisee sawa mkuusiitaki ndio mana sipo nayo
Huyo james delicious ni rafiki mkubwa wa wema nilvoambiwa Kama upo instagram hebu mcheck huyu mtu nkapitia post zake nkaona pic akiwa na sepetu huwa anaendaga nao sijui ni vibao kata sijui vigoma hatarii ndugu Mungu wetu tusaidie tuondokane na hili janga patia picha sasa nduguyo ndo shoga inaumiza jamanNyie mnawaponda hao mashoga lakin madame wema sepenga anawapenda hao viumbe hadi kuwapost kwa page yake ya Ig 🙂
Kwani wema nae ni mtu sasa?Nyie mnawaponda hao mashoga lakin madame wema sepenga anawapenda hao viumbe hadi kuwapost kwa page yake ya Ig 🙂
mbona mm sijaona iyo kitu huko badoo[emoji2] [emoji2]Jamani naongea kwa machungu na masikitiko makubwa mno.
MKASA: Leo katika pekua pekua zangu mtandaoni nikasema ngoja nipitie mtandao wa badoo nijue nini kinaendelea huko...[emoji779] LAHAULA ile nimeingia nikasign in tu muda kidogo txt zina miminika nikajiuliza maswali huku mbona watu wakarimu hivi[emoji15] [emoji15] [emoji15] baada ya muda nikawa naulizwa vipi na kukaribishwa kula UBWABWA mnaweza kudhania natania ila kiukweli nimeshangaa sana, siyo mmoja tu bali kwa dakika kama 10 nikiwa on nimepata txt nne.
Nikasema ngoja nijue hasa interest yao hasa ni nini mpaka wameamua kujinadi hivyo cha ajabu wanatumia lugha ya ukarimu kuliko ata dada zetu. Kiukweli nimeogopa sana sikujua khali imefikia hapa wasiwasi wangu serikali inajua kinachoendelea??
Upande wa pili nao siyo haba biashara inaendelea eti, nimetoka nikiwa nimekata tamaaa kabisa kama vijana hasa wa kiume wameamua kujitoa kupikwa UBWABWA kwa idadi kubwa ile binafsi nimeogopa na kutambua taifa LIMEISHA BUNGULIWA KIASI CHA KUTOSHA JUHUDI ZA ZIADA ZINATAKIWA KIUKWELI.
Nipeni pole mwenzenu nimeigopa sana jamani sikujua kama tumefikia huku.
Inategemea umejiungaje ulichagua marafiki wa kike tu hiyo unaletewa wa kike tu ungechagua wa kiume na kike wangekuja wote pia unaweza kuchagua wa kiume tu pia unaweza kuset wawe wa umri yani kati ya miaka ganimimi mbona naonaga wasichana wazuri tu wakinikaribisha tupige story.