Mrembo,mimi ni muuza karanga za kukaanga hapa katikati ya jiji la Dar,biashara imekuwa ngumu kipindi hichi cha Magufuli,
imebidi nifanye niongeze territory ingine ili kukuza soko,so nimeanza kuuza maeneo ya nje ya jiji pia(suburbs},kwa hiyo kwa siku nasukuma kitoroli changu kwa takriban 40 kilometers all round in a day ,hii naanza saa 11 alfajiri mpaka saa 1 jioni,nikirudi nyumbani hoi,yaani speed meter huwa imesoma sana kwa hiyo naanza kusinzia kabla sijaoga usiku.Naomba kazi niwe house boy wako au shamba boy,i promise to execute all my duties in the most efficient manner,thanks nawasilisha kwako mrembo the boss lady.